Makonda ajaribu kuwa muwazi tu kwamba hivyo viwanja alivyotangaza kugawa kwa watumishi wa serikali mkoa wake, sio kwamba anagawa ama anauza kwa bei nafuu ukweli ni kwamba anajaribu kuwasaidia wale...
earth quick in Hollywood. Harvey weinstein Hollywood producer mogul anashutumiwa kwa kubaka na kunyanyasa wanawake movie stars ..Mara atake kuogeshwa na mengoineyo Ili wapewe kazi na movies na...
Inafundishwa ndani ya Kuran tukufu kuwa Mungu alipowaambia malaika habari za ujio wa binadamu walikataa. Walimwambia Mungu: "Je, unataka kuleta binadamu ili wamwage damu?"
Mungu alipenda sana...
Hii habari inashangaza sana lakini ni kweli imetokea hapa kwetu Tanzania:
Jambazi Atandikwa Risasi na Wenzake Mbele ya Polisi
Mkazi wa jijini Dar es Salaam, Robert Massawe (51), ambaye polisi...
Mke wa Sheikh Suleiman othman mmoja wa wafuasi wa Jumuiya ya Uamsho wanaoshikiliwa mahabusu Tanzania Bara amejiua kwa kujinyonga.
Polisi Mkoa wa Kaskazini Unguja imesema Rahma Mussa Koki (34)...
Kwanza kabisa ni declare interest ya kwamba niliwahi kuwa padre wa kanisa katoliki. Niliamua kuachana nao kwasababu nilitaka kuoa. Hiyo ni haki yangu. Kwa sasa kitaaluma ni mwanasheria.
Kwa...
Asilimia hamsini na saba hadi asilimia sabini ya watoto wenye umri wa mwaka moja hadi miwili wanaopelekwe katika kiliniki za mkoa wa Singida wamebainika kufanyiwa ukeketaji.
Mwenyekiti Msaidizi...
Habari JF,
Nilikuwa safari hivi karibuni, nilikuwa na gari ndogo, tukio lililonitokea linanifanya nianzishe huu uzi inawezekana yapo mengi na lengo hapa ni kujifunza na kuchukua tahadhari zaidi...
Kufuatia vifo vya watu 12 vilivyotokea leo wakati gari walilokuwa wakisafiria kutumbukia Ziwa Vitoria, News Alert: - MWANZA: Watu 12 wafariki, Watatu waokolewa baada ya Hiace waliyokuwa...
Mwanza. Mkuu wa Shule ya Sekondari Migukulama iliyopo Halmasahauri ya Buchosa wilayani Sengerema, Benerdicto Lweikiza (45) amejinyonga hadi kufa akiwa chumbani kwake.
Taarifa za kujinyonga kwa...
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya mkoani Mara, linawashikilia watu 18 kwa tuhuma za mauaji baada ya kumshambulia kisha kumchoma mishale yenye sumu mkazi mmoja wa kitongoji cha Mwara...
Jana kulikua na Habari muwekezaji mkubwa Africa Dangote kumkosoa bulldozer juu ya sheria zake kuwabana wawekezaji na kufanya wengine wakimbie kuja kuwekeza.
Leo asubuh serikali kupitia msemaji...
Kuanzia jana mara baada ya ' Kuapishwa ' kwa Mawaziri wapya na Manaibu Mawaziri katika Kurasa nyingi za Mitandao ya Kijamii nchini Bongo / Tanzania picha ' ongoza ' au picha ' kuu ' ilikuwa ni ile...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Siro ameagiza wafanyabiashara na watu wote ambao wanakwepa kulipa kodi nchini kuchukuliwa hatua kali kwani wanarudisha nyuma na kuchelewesha maendeleo ya...
Baada ya makosa ya wazi katika kauli za Sirro na Mwigulu kuonesha kuwa kuna kitu serikali inajua kuhusu kushambuliwa kipenzi chetu Tundu Lissu, leo tena haraka ya kumjibu Zitto imewaumbua mno...
Anatafutwa na jeshi la polisi kokote alipo toa taarifa kwa 0672442185
Ni mwizi kaiba simu zenye thamani ya sh laki 6 na kiasi cha pesa cha sh laki 7 wazee usawa wenyewe huu yaani ni serious...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.