simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,219
Mko Poa wana JF? Naamini mko poa.
Uwaga kila nikikatiza mitaa ya Lugalo navutiwa na umaridadi wa eneo lile. Kila siku asubuhi nikiwa naelekea job nawaonaga MP wakiongoza wanafunzi kuvuka barabara. Wamejitahidi sana kulitunza. Kila nikiangalia kushoto na kulia naona ukijani tu. Navutiwa na ile miti kama minazi ilivyojipanga, barabara safi yaani unajua kabisa hili eneo linatunzwa na linatunzika.
Lile eneo huwezi kukuta ajari za ovyo ovyo mana MP wapo makini, hapana hata haja ya traffic. kwanza ukipita kama umevaa rafu unajawa na hofu pengine nitarushwa kichurachura kwa uvaaji wangu. Hawa Military Police ni wametisha eneo lile.
Yaani asikuambie mtu ni pasafi balaa. Ukikutwa unatema hata mate ujiandae kupigwa dawasco. JWTZ wamejitahidi kusimamia eneo lile. Ile base ya jeshi wamejua kulipendezesha.
Tanzania nzima ingekuwa kama New York kama hizi base zingemwagwa katika majiji yote.
Cc. Modes naomba mnirekebishie Title