Wizi wizi wizi. Kaa chonjo na matapeli

Wizi wizi wizi. Kaa chonjo na matapeli

Daudon

Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
63
Reaction score
87
Huu ujumbe hapa chini ni wa kitapeli na hauna uhusiano wowote na kampuni ya TMT ambayo inajishughulisha na mafunzo ya forex kwa sasa pamoja na kuwawezesha watanzania hasa vijana kujikwamua kutokana na kufanya biashara ya kuuza na kununua sarafu mtandaono

Kuna watu wenye nia ovu wanaotaka kuharibu juhudi ambazo zimeshafanyika hadi sasa. Hawa watu si wa kufumbiwa macho. Muonapo ujumbe huu hapa chini mjue hao ni wezi na matapeli na si TMT-The Million Team. Hatua zaidi zitaendelea kuchukuliwa.

Mimi ni mnufaika wa mafunzo hayo na tayari nimeshaona matunda yake. Hakuna kitu kama kukusanya hela za watu na kuzizungusha kisha usubirie tu faida. Forex utajifunza mwenyewe na utafanya mwenyewe.

[emoji383][emoji383]FOREX INVESTIMENT[emoji383][emoji383]
[emoji737]JIUNGE NA FOREX INVESTIMENT UWEZE KUKUZA MTAJI WAKO
*ANGALIZO*
HUU SIO MFUMO WA KUCHANGIANA KAMA WENGI WANAVODHANI HUU NI MFUMO WA KUWEKEZA FEDHA NA KUWEZA KUVUNA FAIDA NDANI YA SIKU4 BAADA YA PESA ZAKO KUZUNGUSHWA KATIKA BIASHARA YA FOREX
UNAWEZA KUANZA NA KIWANGO CHOCHOTE KUANZIA 10000 HADI LAKI5 [emoji737]

[emoji176][emoji176][emoji176][emoji176][emoji176]VIWANGO VYA KUCHANGIA NI KAMA IFUATAVYO FAIDA NI ASILIMIA 80[emoji176][emoji176][emoji176][emoji176][emoji176][emoji176]

*10000* ------- 18000

*20000* -------- 36000

*30000* -----------54000

*40000* -----------72000

*50000*------------90000

*MWISHO WA KUWEKEZA NI LAKI5*


*JINSI YA KUWEZA* *KUFAHAMU* *FAIDA YAKO/ GAWIO LAKO*

CHUKUA MTAJI ULIOWEKA ZIDISHA MARA80 GAWANYA KWA MIA

*MFANO*
UKICHANGIA 50000

50*80/100 = 40000
40000+50 = 90000


[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123] *INVEST KADRI YA UWEZO WAKO*

*[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]MALIPO HAYATEGEMEI WATU WAJIUNGE* *CHINI YAKO HAPANA* *MALIPO YANATOKANA* *NA PESA TUKISHAFANYA TRADING UNALIPWA* *FAIDA PAMOJA NA MTAJI NI MAAMUZ YAKO* *KUENDELEA AU KUACHA*
*KARIBUN SANA FOREX* *INVESTIMENT*

[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736] *NAMBA YA KUCHANGIA*

*0785685347*
JINA:: *ZAMANA MAKANGAE*

*[emoji91][emoji91][emoji91]SCREENSHOT*
*0785685347*




[emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji737][emoji737] *UKISHATUMA PESA TUMA MUAMALA WAKO KWA ADMIN ILI* *AWEZE KUKUEKA KWENYE LIST YA WATAKAOPOKEA* *SIKU HUSIKA KARIBUN SANA*

*PIA UNAWEZA KUTEMBELEA GOOGLE UKAJIFUNZA
 
hawa wezi wangekuja kwenye mafunzo .hizi shortcut zitawapeleka jela.
#fornoreason#
 
Aisee wabongo wapo fasta sana. Watanzania wengi tunapenda kukusanya mahali ambapo hatukutawanya. Yaani kuna watu/kundi la watu baada ya kuona Forex issues wakakaa kamati wakaanza tafakari ni namna gani ya kujipatia pesa kiulaini, kisha wakaja na huu ujumbe.
 
unatangaza ama unatutahadharisha?
Unapewa tahadhari

""Huu ujumbe hapa chini ni wa kitapeli na hauna uhusiano wowote na kampuni ya TMT ambayo inajishughulisha na mafunzo ya forex kwa sasa pamoja na kuwawezesha watanzania hasa vijana kujikwamua kutokana na kufanya biashara ya kuuza na kununua sarafu mtandaono

Kuna watu wenye nia ovu wanaotaka kuharibu juhudi ambazo zimeshafanyika hadi sasa. Hawa watu si wa kufumbiwa macho. Muonapo ujumbe huu hapa chini mjue hao ni wezi na matapeli na si TMT-The Million Team. Hatua zaidi zitaendelea kuchukuliwa.

Mimi ni mnufaika wa mafunzo hayo na tayari nimeshaona matunda yake. Hakuna kitu kama kukusanya hela za watu na kuzizungusha kisha usubirie tu faida. Forex utajifunza mwenyewe na utafanya mwenyewe.""
 
Back
Top Bottom