Mkutano NSSF October 2017

Mkutano NSSF October 2017

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Huu mkutano wa NSSF wa wadau October, 2017. Usajili unaendelea

Je, Viongozi wa NSSF na wanachama watajadili changamoto za FAO La kujitoa?

Ujenzi wa Viwanda unatija au ni Mihemko wa kisiasa?

Kama walishindwa tu kusimamia ujenzi wa Majumba, wataweza Viwanda?

NSSF Moshi ni empty, Arusha pia asilimia 50% ni tupu

Kwanini viwanda vilikufa? Je hizo sababu sasa hazipo?
 
nssf kwa mtu mjanja achukue chake mapemaaa... wana miradi ya kipumbavu mingi sana.... hela haziwezi kurudiiii
 
Unawezaje kuchukua chako Mapema wakati wanazingua kwa visingizio kibao

Hivi Tanzania kuna mtetezi wa wanyonge kweli? Pesa za wanyonge kujengea viwanda ovyo ovyo?

Sasa Hivi NSSF hakuna FAO la Kujitoa
 
Kuna Mwanachama yeyote alipoteza kazi na kupewa FAO mwaka 2016 au 2017?

Tafadhali saidia taarifa

Hata mfanyakazi wa NSSF, saidia watanzania wanyonge
 
Kuna Mwanachama yeyote alipoteza kazi na kupewa FAO mwaka 2016 au 2017?

Tafadhali saidia taarifa

Hata mfanyakazi wa NSSF, saidia watanzania wanyonge
TANZANIA HAKUNA DICTETA....
SHERIA ZA NCHI KAMA HIZI ZA ZUIO LA FAO LA KUJITOA NDIZO DICTETA.....TUZIPINGE!!!
 
Watunga sheria wenyewe watakuwa wanachuka ndiyo mana walipitisha!
 
yaani NSSF na serikali yao sina hamu nao,nimesota miezi sita na fedha sija pata mpaka leo wananizungusha.Ilifika mahali nika tamani kwa fanyakazi yeyote atakaye nisaidia kupata pesa yangu baasi nampatia robo ya pesa hiyo
 
Je, baada ya miezi 6 ya kuzungushwa, Fao la Kujitoa linapatikana?

Kwa nini NSSF wamzungushe Mtu?
 
Back
Top Bottom