COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,600
- 3,651
Leo tarehe 17/5/2017 majibu ya watu waliokata RUFAA kwenye kundi la Kugushi mbona hamyatoi?
Wale mliowaita wana vyeti vyenye UTATA mbona hamtoi majibu ili hali wahusika wamewasilisha vyeti vyao Original? Tena kundi hili mliwaambia wawasilishe vyeti original kabla ya tarehe 15/5/2017.
Wale pia wa INCOMPLETE mbona hamtoi majibu?....
Toeni majibu ili tuone nani atakayeaibika kwenye hili sakata kati ya Serikali na Watumishi kwenye makundi hayo.