Equity bank haina mazingira rafiki Arusha Branch

Equity bank haina mazingira rafiki Arusha Branch

FOdd

Senior Member
Joined
Sep 17, 2017
Posts
127
Reaction score
173
Wakuu kwema humu mimi ni mteja mtiifu wa hii bank kwa muda kiasi nimekuwa nikifanya miamala yangu bila kufika tawi la bank,Nimekuwa mtumiaji wa muda mrefu wa hii bank, Leo nimefika Tawini Arusha hakuna mazingira rafiki kabisa kwa wateja ofisi nzima ina bench moja tu la kukaa watu wanne basi ina maana namba ikiwa zaidi ya wanne watapaswa kusimama muda wote ndani ya bank, Kumekuwa na Wahudumu kadhaa ambao sidhani KAMA soma la Customer care walipokuwa vyuoni walilielewa yani wako hash sana kama mtu ataonesha ushamba fulani wana target Client ambao wana fanya miamala mikubwa na kuwapa attention kuna mtu nimemhurumia Tawini apo, Equity miaka michache nyuma hawakuwa ivo kabisa, Mwisho niliomba karatasi la kuandika Maoni mana niliona suggestions box ila niliambiwa nisubiri , Nataka kuswitch FNB as soon as possible, Nipe uzoefu na hii First National Bank huduma zao
 
Back
Top Bottom