Viwanja vya relini Arusha ni vya nani?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Najua watu wana mjadala wa Nyalandu na wengine mjadala wa Magu na wale ambao hawatakiwa "kubomoleshewa" kule Mwanza.. miye nina kijiswali kidogo tu nimekiokota katika pita pita zangu. Nilikuwa naangalia mji wa Arusha hasa eneo maarufu la viwanja vya relini ambapo mikutano mingi ya kisiasa na kidini hufanyikia... katikati kabisa ya viwanja hivyo kuna majengo/nyumba sijaelewa kwanini..

a. Eneo lile lilitakiwa liwe wazi kuanzia huko kwenye ghala za nafaka (NMC) au lilitakiwa ligawanywe viwanja viwanja.. ni kana kwamba majengo yaliyoko katikati ya viwanja hivyo kama yako "out of place". Au ni mimi tu nimewahi kujiuliza hili?

kwananihapa.png
 
Nenda kagonge mlango atakaefungua muulize hio nyumba n ya nan!?
Usisahau kutupa mrejesho boss
 
Hizo ni Nyumba za watu Wasio julikana....!!
Usiumize kichwa chako kufikiri sana..
 
Najua watu wana mjadala wa Nyalandu na wengine mjadala wa Magu na wale ambao hawatakiwa "kubomoleshewa" kule Mwanza.. miye nina kijiswali kidogo tu nimekiokota katika pita pita zangu. Nilikuwa naangalia mji wa Arusha hasa eneo maarufu la viwanja vya relini ambapo mikutano mingi ya kisiasa na kidini hufanyikia... katikati kabisa ya viwanja hivyo kuna majengo/nyumba sijaelewa kwanini..

a. Eneo lile lilitakiwa liwe wazi kuanzia huko kwenye ghala za nafaka (NMC) au lilitakiwa ligawanywe viwanja viwanja.. ni kana kwamba majengo yaliyoko katikati ya viwanja hivyo kama yako "out of place". Au ni mimi tu nimewahi kujiuliza hili?

View attachment 621119
Hilo eneo lote ni mali ya TRC na ndio mana panaitwa uwanja wa reli
 
Unaongelea upande upi?
Pale kwenye garage ya monaban au huku kwenye soko nyuma ya Arusha Sekondari?
 
Back
Top Bottom