Mwanafunzi wa kidato cha tatu aliyetaka kumfanyia kaka yake mtihani wa kidato cha nne akamatwa Kagera

K

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Messages
1,691
Likes
2,206
Points
280
K

kirerenya

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2013
1,691 2,206 280
kage-jpg.621375

Jeshi la polisi mkoani kagera linamshikilia Ashraf Amin Kaitaba mwanafunzi wa kidato cha tatu anayesoma katika shule ya sekondari ya Bukoba iliyoko mkoani humo aliyekamatwa jana na maofisa wa jeshi hilo wakati akijaribu kufanya jitihada za kuingia kwenye chumba cha mtihani kilichondaliwa katika Chuo cha walimu cha Nshambya kwa ajili ya kituo cha watahiniwa binafsi wanaofanya mtihani wa kidato cha nne unaoendelea sasa aliyekuwa na lengo la kuingia katika chumba hicho kwa lengo la kumfanyia kaka yake mtihani huo ambaye ni miongoni mwa watainiwa binafsi.

Akizungumza juu ya tukio hilo mbele ya waandishi wa habari akiwa ofisini kwake,Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera, Kamishina Mwandamizi, Augustine Ullomi amesema mwanafunzi huyo alikuwa na nia ya kuingia katika chumba hicho kwa lengo la kumfanyia mtihani kaka yake aliyemtaja kwa jina la Amir Amin Kaitaba ambaye amesema naye anashikiliwa na jeshi hilo.

Kufuatia tukio hilo Kamanda Ullomi amesema jeshi hilo litahakikisha mitihani ya kidato cha nne inayoendelea sasa inafanyika kulingana na kanuni na taratibu zilizopo na ametoa onyo kwa walimu, wazazi na wanafunzi watakaojihusha na vitendo vya udanganyifu wakati wa zoezi la kufanya mitihani hiyo.

Chanzo: ITV
 
Joseverest

Joseverest

Verified User
Joined
Sep 25, 2013
Messages
39,846
Likes
47,286
Points
280
Joseverest

Joseverest

Verified User
Joined Sep 25, 2013
39,846 47,286 280
asante kwa taarifa
 
djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Messages
4,110
Likes
1,901
Points
280
djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2014
4,110 1,901 280
Wangemwacha tu ajipime lwa ajili ya mtihani wake mwakani
 
K

kamwamu

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
1,529
Likes
709
Points
280
K

kamwamu

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
1,529 709 280
Kufanyiwa mtihani ukafaulu, kuchukua cheti cha mwingine, na ukasonga mbele kielimu, wanyamwezi wanasema the difference is the same.
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
1,932
Likes
442
Points
180
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
1,932 442 180
Nazani hili ni Kosa kubwa kuliko hata kughushi cheti chenyewe !
 
S

skylumu

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Messages
209
Likes
100
Points
60
S

skylumu

JF-Expert Member
Joined May 14, 2017
209 100 60
udanganyifu usiojulikana hatimae wajulikana.
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
11,156
Likes
3,449
Points
280
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
11,156 3,449 280
Hata cheti cha Bashite aliyefanya mtihani ni tofauti na anayekimiliki
 
HOMBOY

HOMBOY

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Messages
1,440
Likes
910
Points
280
HOMBOY

HOMBOY

JF-Expert Member
Joined May 16, 2016
1,440 910 280
Jeshi la polisi mkoani kagera linamshikilia Ashraf Amin Kaitaba mwanafunzi wa kidato cha tatu anayesoma katika shule ya sekondari ya Bukoba iliyoko mkoani humo aliyekamatwa jana na maofisa wa jeshi hilo wakati akijaribu kufanya jitihada za kuingia kwenye chumba cha mtihani kilichondaliwa katika Chuo cha walimu cha Nshambya kwa ajili ya kituo cha watahiniwa binafsi wanaofanya mtihani wa kidato cha nne unaoendelea sasa aliyekuwa na lengo la kuingia katika chumba hicho kwa lengo la kumfanyia kaka yake mtihani huo ambaye ni miongoni mwa watainiwa binafsi.

Akizungumza juu ya tukio hilo mbele ya waandishi wa habari akiwa ofisini kwake,Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kagera, Kamishina Mwandamizi, Augustine Ullomi amesema mwanafunzi huyo alikuwa na nia ya kuingia katika chumba hicho kwa lengo la kumfanyia mtihani kaka yake aliyemtaja kwa jina la Amir Amin Kaitaba ambaye amesema naye anashikiliwa na jeshi hilo.

Kufuatia tukio hilo Kamanda Ullomi amesema jeshi hilo litahakikisha mitihani ya kidato cha nne inayoendelea sasa inafanyika kulingana na kanuni na taratibu zilizopo na ametoa onyo kwa walimu, wazazi na wanafunzi watakaojihusha na vitendo vya udanganyifu wakati wa zoezi la kufanya mitihani hiyo.

Chanzo: ITV
wakamuulize na bashite kwamba hayo mambo anayaelewa? kwa sababu naye kapitia pia anatoka kanda ile
 
Forum statistics

Threads 1,212,991
Members 461,898
Posts 28,462,953