Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

akiongea kwa kiswanglish cha ki-teenager, (si unajua namna huwa wanatamka L zao) violet mzindakaya ameweka wazi vitu wanakavyoviongea kesho Jangwani amesema watanzania kwa muda mrefu wamekua...
2 Reactions
78 Replies
14K Views
Kuna chombo kimoja cha habari kimenichafua, kuwa nimepingana na agizo la Mhe. Rais kwa kuruhusu mifugo iingizwe ndani ya Hifadhi zote za Taifa, ikiwemo Serengeti. Jambo ambalo sikulisema. Najua...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimewasikia viongozi wakuu wengi wakitamba eti nchi imefanikiwa kufanya elimu kuwa bure hadi kidato cha nne. Pia elimu hiyo ni bora. Sasa nimeshtuka kuona Watoto wao kuanzia Rais, mawaziri na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shetani anatumia vitu vinavyong'aa nje kumbe ndani vimeoza,kumbe ndani kuna mtego wa kukunasa, ukitaka umkamate kuku dondosha mahindi atakufuata mwishowe utamkamata na kumchinja Kuna mashirika...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapinzani wanasema CCM inatoa siri za ufisadi baada ya wanachama wao kwenda upinzani. Lakini wanasahau kuwa na wao huacha kuwashutumu wanaCCM kuhusu ufisadi wao pale wanapohamia kwao. Huu mchezo...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Ofisi hii imekuwa ikichelewesha kazi kwa makusudi huku watumishi wa ofisi hii hususan Msajili Msaidizi mwenyewe na baadhi ya wasaidizi wake kadhaa. Kwao ni kawaida kuprocess mortgage kwa miezi...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Jamani uzi huu nimeamua kuuleta hapa ili kuongeza ufanisi katika utendaji wa kazi na kuleta usawa raia wote! Nitaanza kama ifuatavyo:- 1: Mwalimu (degree holder) akiajiliwa sehemu yoyote nchini...
8 Reactions
33 Replies
6K Views
Idara ya maji hapa wilayani Ukerewe inadaiwa deni na Tanesco kama milioni 7 katika mradi wa maji kijijini LUTARE WILAYANI UKEREWE, nje kidogo ya mji wa Nansio. Mradi uliozinduliwa na Makamu wa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi! Dhumuni la uzi huu ni kutoa taarifa ya tahadhari muwapo maeneo ya Kariakoo mitaa ya Agrey na msimbazi au Agrey yote! Jana baada ya yakutoka katika mizunguko yangu mida ya...
12 Reactions
128 Replies
12K Views
Kama kuna funzo tunalolipata kila mvua kubwa tunapoipata ni hili la maji ya mvua. Tatizo kubwa huwa hatujifunzi somo hilo. Tuna vichwa vigumu! Mimi ni mhandisi, na najua fika kuwa Water has the...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Kiongozi wa Bunge la Seneti la Australia atangaza nia ya kujiuzulu kutokana na kuwa na Urai wa pacha wa Australia na Uingereza. Stephen Parry amesema kuwa anafikiria kujiuzulu akiamini kuwa...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
Alipoondoka Hudson kipindi kiliyumba lakini kuna dada mmoja yuko kisomalisomali hivi wanamwitaga Baby Kabaye aliweza kwa kiasi fulani kukirejesha kwenye mstari. Lakini sasa yapata wiki mbili...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Ofisi hii imekuwa ikichelewesha kazi kwa makusudi huku watumishi wa ofisi hii hususan Msajili Msaidizi mwenyewe na wasaidizi wake kadhaa. Kwao ni kawaida kuprocess mortgage miezi hata land search...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Mzozo na malumbano mazito yametwala katika kikao cha Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga wakihoji upotevu wa fedha zaidi ya Shiligi Bilioni moja kati ya mabilioni kadhaa ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo ni siku ya tatu toka nilipie king'amuzi kila nikiwasha tv inaonyesha kwa sekunde chache kisha yanatokea maandishi 'no service' mjue nimelipia ili nipate habari na yanayoendelea nchini kwetu na...
1 Reactions
5 Replies
978 Views
Salaam wakuu, Wanabodi kwa mimi ninavyoona huu mfumo wa kidemokrasia kwa Afrika umeshindikana, wengi tunashuhudia vurugu na mitafaruku ambayo inaendelea Afrika kwa jina la demokrasia. Hivi...
0 Reactions
2 Replies
560 Views
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika jukwaa hili Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Kifo ni nini? Kifo ni kitendo cha mmea, mnyama au mwanadamu kuishiwa pumuz, kwa tafsiri...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akawagonga. Taarifa zisizo rasmi watatu wamefariki hapo hapo Askari saba...
8 Reactions
234 Replies
129K Views
Haikuwa kitu rahisi Mimi kukubali kuhamia boarding / hostel kwa umri ume na stori za kipindi hicho kuhusu huko boarding. Kwa bahati mbaya mama yangu akapata nafasi ya kuongeza kisomo ktk chuo...
0 Reactions
6 Replies
757 Views
Huyu ni kijana anayependezwa naye, na sidhani kama ataacha kuhama anaye pale atakapoazimia kuhamisha serikali kuu yake Dodoma. Sina hakika sana, ila naona kitu kma hicho kuja kutokea, na hilo...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…