Habarini wakuu,
Nina mgonjwa wa saratani ya titi. Kwa kutambua kuwa India kuna hospitali nyingi, ninaomba kufahamishwa hospitali nzuri kwa matibabu ya saratani kwa kuzingatia wataalam, vifaa tiba na isiyo na ujanja ujanja.
Natanguliza shukrani.