Wachina watano wadakwa wakisafirisha makinikia

Replica

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
323
Likes
1,154
Points
180
Replica

Replica

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
323 1,154 180
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limewakamata raia watano kutoka China wanaomiliki mgodi wa Zem Tanzania Limeted katika kijiji cha Nyasirori wilayani Butiama, wakitorosha mchanga wenye madini mbalimbali maarufu kama makinikia.

Raia hao wa China wamekamatwa wakiwa katika harakati za kusafirisha mchanga huo kwenda Jijini Dar es Salaam kinyume na taratibu na sheria za nchi.

china2.jpg

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi ACP Japhary Mohamed, amesema walipata taarifa kuhusu wawekezaji hao kuandaa mpango wa kutorosha mchanga huo wa madini na ndipo Jeshi la Polisi lilipolazimika kuweka mtego ambao umewezesha kukamatwa.

Anasema kuwa walifanikiwa kukamata magari mawili katika barabara kuu ya Mwanza-Musoma yakiwa na masanduku 14 yenye mchanga huo wenye madini ya aina mbalimbali.
 
AirTanzania

AirTanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Messages
1,139
Likes
705
Points
280
Age
33
AirTanzania

AirTanzania

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2011
1,139 705 280
Sikujua kama mchanga wa Tanzania unathamani kuliko madini yenyewe
 
ndenga

ndenga

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Messages
1,749
Likes
563
Points
280
ndenga

ndenga

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2010
1,749 563 280
Tunazuia mchanga tunaachia madini..kuna haja ya kufunga zile airstrips za migodini au kuweka wanajeshi kuzilinda
 
shiu yang

shiu yang

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
2,541
Likes
4,547
Points
280
Age
47
shiu yang

shiu yang

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
2,541 4,547 280
Eti wanampango wa kusafirisha hapa watakuwa wamekosea

Waseme hao wachina wamekuwa wakisafirisha mchanga huo wa madini mara nyingi
 
K

kamwamu

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
1,603
Likes
757
Points
280
K

kamwamu

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
1,603 757 280
Tuna urafiki wa 'damu' na wachina ulio wekewa 'amini' wakati wa awamu ya nne. Hayo si makinikia, ni dhahabu ndani ya makinikia. Makampuni ya ujenzi ya wachina ni wachuuzi wa mbao, magogo, asali, nta na mengineyo. wakati hawana leseni za shughuli hizo. Ni wizi, wakitumia 'amini' tuliyolishana.
 
J

JWKRMM

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2017
Messages
1,561
Likes
971
Points
280
J

JWKRMM

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2017
1,561 971 280
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limewakamata raia watano kutoka China wanaomiliki mgodi wa Zem Tanzania Limeted katika kijiji cha Nyasirori wilayani Butiama, wakitorosha mchanga wenye madini mbalimbali maarufu kama makinikia.

Raia hao wa China wamekamatwa wakiwa katika harakati za kusafirisha mchanga huo kwenda Jijini Dar es Salaam kinyume na taratibu na sheria za nchi.

Polisi wakishaacha tabia ya unafiki kama ule wa anadhani sisi tungejuaje si fulani ndo katwambia mbona uhalifu wa aina zote hapa nchini utakwisha kwasababu kila uhalifu utajulikana kabla haujatoakea watu watatafuta kazi za kufanya na siyo uhalifu. Sasa wengi wa polisi hawana siri wanawambia whalifu fulani ndo katutonya wahalifu wanamdhuru mtoa taarifa...ni shidaaaaa...

china2.jpg

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi ACP Japhary Mohamed, amesema walipata taarifa kuhusu wawekezaji hao kuandaa mpango wa kutorosha mchanga huo wa madini na ndipo Jeshi la Polisi lilipolazimika kuweka mtego ambao umewezesha kukamatwa.

Anasema kuwa walifanikiwa kukamata magari mawili katika barabara kuu ya Mwanza-Musoma yakiwa na masanduku 14 yenye mchanga huo wenye madini ya aina mbalimbali.
 
Forum statistics

Threads 1,238,061
Members 475,830
Posts 29,310,531