Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga limewakamata na kuwashikilia watu 29 kwa tuhuma za kujihusisha na makosa mbalimbali ya uhalifu wa kutumia silaha na vifaa bandia vya kuvunjia milango, 7 kati yao...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivyo tu... Those girls that u used to call hot chicks...nw turned to frozen bones. Sipendi mademu walivyokuwa wanariga.. Ila pia wanavyodhalilika sasa .men ni aibu. My take.. Hivi vyama...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waishio Canada wadumishe mshikamano wao na wawe na uzalendo kwa Taifa lao. Ametoa wito huo jana Oktoba 31, 2017 wakati akizungumza na Watanzania...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Kwa kawaida nchi zote duniani kumekuwa na desturi ya viongozi wakuu wa nchi (Marais) kutumiana salamu za pongezi kwa Rais Mteule pindi tu Tume ya nchi zinapomtangaza mshindi katika kinyany'anyiro...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mhe Lazaro Nyalandu akiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu baada ya kumtembelea hospital Nairobi wanavyoonekana kwa tabasamu na misingi ya utu...
27 Reactions
79 Replies
12K Views
Wakuu Nawasalimu Ninaomba niwape kisa cha wawindaji wawili waliokwenda kuwinda porini na kupata mnyama ambaye hawakutegemea kumnasa na hatimaye kwa haraka haraka wakakasirika kwa kudhani...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
GHARAMA ZA UONGOZI Ni watu wachache sana wanaotambua adha, shida, manyanyaso, upweke, matusi, dharau, na mambo mengine magumu wanayopitia viongozi. Wengi wanapofikiri kuhusu majukumu na nafasi ya...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Leo zimezuiwa ndizi zenye thamani ya Tzs 5,000/= Maafisa wamesema serikali imezuia uingizwaji wa ndizi toka bara sababu kuwa zina wadudu wanaosababisha maradhi. Hajafafanua maradhi hayo aina gani...
2 Reactions
69 Replies
8K Views
Ikiwa tumeteketeza Malaika wale masikini hata bado hawajaifaidi Oxygen ya Mola wetu duniani,basi na hawa wahamiaji wanaokamatwa kwenye Noah/Malori nao wateketezwe haraka Maana hatujui kama huko...
0 Reactions
7 Replies
924 Views
Eti ' Wadau ' hivi kumbe katika haya Majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama huwa hakuna ' Karakana ' zao za kuweza kutengenezea ' Magari ' yao ' Chakavu ' hadi mpaka wajitokeze tu Makampuni ya Wahindi...
15 Reactions
100 Replies
10K Views
Ni jina la ajabu sana la mtu mwenye mamlaka makubwa sana ktk ardhi yetu tuliyojaaliwa na Manani. Mtu huyu ni mwingi wa hila na hasira, tena akikasirika hata fimbo hutumia. Al-manusura auwe...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Imefahamika kuwa sasa walimu wengi wa jinsia zote yaani wa kiume na wakike wote wametawaliwa na michezo ya kubashiri yaani betting!. Sasa walimu wengi kupitia simu zao za smart phone wanazo app...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Zitungwe sheria kuhusu mambo yafuatayo 1. Usafi wa mwili, pikipiki na mavazi, ukukiuka faini kuanzia 50,000 (fifty thousands) 2. Mavazi stahili eg. Helmet, heavy jackets, hard boots, kama huna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanawake wa Kijiji cha Kaziramihunda na Juhudi Kata ya Kasanda wilayani ya Kakonka mkoani Kigoma, wamelalamikia kutelekezwa na waume zao ambao wanatelekeza familia na kwenda kuoa wakimbizi kutoka...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwako Waziri mwenye dhamana, mimi mkazi na mwenyeji wa nchi ya yetu nilikuona kwenye vyombo vya habari ukiongelea sakata la umeme kukatika nchi nzima siku ya tarehe 25 October ukasema kwamba ni...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimeona tangazo lako ukiwa Sumbawanga ukiwa unazungumzia ujenzi holela, na kutoa agizo kwa wakurugenzi wa halmashauri kubomoa nyumba za watu wote waliojenga ama kiholela ama bila kibali cha...
13 Reactions
33 Replies
3K Views
*Waziri Ummy Mwalimu ahimiza Viwanda vya Dawa Zenye Ubora, Salama na Ufanisi* Katika kuunga mkono Sera ya Uchumi wa Viwanda ya Mh. Rais Dkt. John Magufuli, Wawekezaji wa ndani watakiwa kujenga...
0 Reactions
2 Replies
865 Views
Nimesikia vifaranga vilivyoingizwa nchini vimeteketezwa, hii imeniuma sana nikifikiria viumbe wale wadogo wakipata adhabu ile ya Jehanum. Maswali ya kujiuliza; Hivi hakukua na njia nyingine...
23 Reactions
111 Replies
8K Views
Wakuu wasalaam,[emoji113] Nilikuwa nimeketi nasikiliza RFA , nikarudi nyuma kukumbuka jinsi ilivyokuwa maarufu miaka ya 2007 kurudi chini. Nikakumbuka kila nikipita mtaani jioni ile watu...
2 Reactions
47 Replies
10K Views
Back
Top Bottom