Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jana tulitangaziwa kuwa mitambo ya TBC TV na RADIO itazimwa usiku wa kuamkia leo kwa saa moja ili kuweza kuwasha mitambo mipya ambayo itasaidia na kuboresha mwonekano na usikivu wa hivi vyombo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika yenye vivutio vingi vya utalii lakini kutokuwepo kwa sekta imara ya usafiri wa anga kumeifanya sekta ya utalii kukosa mapato. Sekta ya Utalii inachangia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Utafiti Wangu...ama wanawake wa Jf wana umri.mkubwa kuliko wanaume kwenye platform Hii ndomaana imefanya wanaume wakati mwingine kuja na mada kama wanawake wa Jf wabaya,Malaya nk Kingine wanawake...
14 Reactions
152 Replies
8K Views
huyu utamkuta anapesa nyingi kuliko familia au ukoo wote... Maamuzi yote yanayofanyika bila kuhusishwa huwa ni batili... anachokisema yeye hakiwezi kupingwa adharani kwa wanandugu au familia...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu humu, nilikuwa naomba kuuliza kwa wenye uelewa na hili jambo, et maaskari polisi hapa tz makato yao kwenye mifuko ya jamii kama gepf, lapf nk huwa wanakatwa vipi! Kuna mtu kaniambia et...
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Migango wilayani hapa amemchapa viboko mwalimu mwenzake mbele ya wanafunzi akimtuhumu kwa wizi wa sahani tano pamoja na nusu kilo ya sukari iliyotolewa kwa ajili ya...
2 Reactions
66 Replies
9K Views
'Wakati ninapoomba , mara nyengine mimi hushikwa na usingizi'', alisema katika kipindi kimoja cha kanisa hilo cha TV2000 kilichochapishwa katika mtandao wa You tube. ''Mtakatifu Theresa pia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nimekuta mzozo juzi hapa mtaani kwetu mzee mmoja akilalama kweli... Mtoto nimemsomesha kwa shida nimeuza ardhi na asset zangu nyingi nikitegemea akimaliza masomo atakuwa mkombozi katika...
13 Reactions
233 Replies
17K Views
Moto wateketeza kituo cha yatima Monduli. Watu kadhaa wakiwemo watoto wamenusurika kifo baada ya moto kuwaka na kuteketeza zaidi ya gunia sitini za Mahindi ya chakula mashine tatu za kusaga na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kuna mambo lazima tuyajadili!! Nani anayejua ni lini NSSF wataacha kuchaji kwa ajili ya kupita darajani? Kwa malipo ya sasa wamekadiria kwa rate hii ya sasa, itawachukua miaka mingapi...
5 Reactions
74 Replies
13K Views
Leo rafiki yangu mmoja kanitumia ujumbe wa kunilaumu kama mwanahabari,anasema kuwa siku hizi si kwenye magazeti,si kwenye TV,si Redioni,habari(news),nyingi haziwakongi nyoyo,anasema habari nyingi...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Habari wadau...poleni na majukumu...jamani MTU yoyote ambae anajua utaratibu wa kutumiwa pesa kutoka nje kupitia nmb tafadhali anisaidie hata sasa hivi..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Morogoro wamegoma kufanya kazi kwa zaidi ya saa nne wakishinikiza kulipwa mishahara yao huku baadhi yao zaidi ya 500 wa idara ya ushonaji wakigoma kwa zaidi ya saa sita wakishinikiza kuondolewa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wanajf.... Leo wakati nasikiliza hotuba ya Mhe.Rais JPM nilipata kumsikia akisema bado, atasimamia msimamo wake wakufuata sheria kwa mifugo yote itakayoingia nchini kutoka nchi jirani, hii...
1 Reactions
2 Replies
797 Views
Salute!.. Kama maneno niliyoyaskia kutoka huko mitandaoni ukiwepo hapa Jf basi hao wanaouhusika hawajalipa uzito unaostahii suala hili. Sitaki kuamini kama limekaa kisiasa,lakini nachelea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo hii kupitia magazeti nimesikia kuwa Serikali inatarajia kuwaongezea watumishi wa umma mishaharana na nyongeza kwenye mishahara yao. Ningependa kuiomba Serikali kuwa katika nyongeza hii...
3 Reactions
44 Replies
8K Views
Baada ya kusota mahabusu kwa siku nne, hatimaye Vigogo wawili wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) wanaokabiliwa na kosa la kuisababishia Serikali hasara ya Tsh. Bilioni 1,097,681,107, wameachiwa...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Hivi ' logically ' tu Chombo cha Habari kikubwa na tegemezi nchini Tanzania kuamua kwenda kuwahoji Watoto wa Shule za Msingi tena wa Darasa la Nne na Darasa la Pili juu ya ' Utendaji ' wa '...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau, Wafuasi 12 Wa Chadema Leo Tarehe 6/11/2017 Wamefikishwa Mahakamani Kwa Tuhuma Za Kumshambulia Mgombea Udiwani Wa CCM Kata Ya Muriet Mhesh Mbise. Watuhumiwa Hao Waliofikishwa Katika...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Imebidi ni tune TBC kwa sababu mtangazaji anakuwa msemaji mkuu anaingilia matangazo na hataki kumruhusu mshereheshaji akatoa maelezo tunajua yuko kwao apunguze Azam ndiyo ianayosikika vizuri atulie
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Back
Top Bottom