Msaada wa haraka: Kutumiwa pesa kutoka nje kupitia NMB

M

mafia boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2013
Messages
268
Likes
55
Points
45
M

mafia boy

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2013
268 55 45
Habari wadau...poleni na majukumu...jamani MTU yoyote ambae anajua utaratibu wa kutumiwa pesa kutoka nje kupitia nmb tafadhali anisaidie hata sasa hivi..
 
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
3,841
Likes
3,084
Points
280
Hazchem plate

Hazchem plate

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
3,841 3,084 280
Kama pesa ni nyingi fungua account kweny international bank. Kama vp tumia money gram au western union
 
mwayungi

mwayungi

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2017
Messages
1,588
Likes
2,700
Points
280
mwayungi

mwayungi

JF-Expert Member
Joined May 9, 2017
1,588 2,700 280
Habari wadau...poleni na majukumu...jamani MTU yoyote ambae anajua utaratibu wa kutumiwa pesa kutoka nje kupitia nmb tafadhali anisaidie hata sasa hivi..
Money gram,west union
 
M

mafia boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2013
Messages
268
Likes
55
Points
45
M

mafia boy

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2013
268 55 45
Anataka kunitumia ni kupitia account...just check chini hapo

Just ask all information that is need to do a wire transfer of money from USA bank to your bank account
 
Kine3

Kine3

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Messages
289
Likes
104
Points
60
Kine3

Kine3

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2013
289 104 60
Habari wadau...poleni na majukumu...jamani MTU yoyote ambae anajua utaratibu wa kutumiwa pesa kutoka nje kupitia nmb tafadhali anisaidie hata sasa hivi..
Nenda nmb watakufahamisha.
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
48,115
Likes
39,292
Points
280
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
48,115 39,292 280
Hongera, umefungua zile link nini
 
Forum statistics

Threads 1,237,219
Members 475,501
Posts 29,281,880