Papa Francis akiri kushikwa na usingizi wakati anapofanya maombi


LAMBOFGOD

LAMBOFGOD

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Messages
1,449
Likes
964
Points
280
LAMBOFGOD

LAMBOFGOD

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2016
1,449 964 280
'Wakati ninapoomba , mara nyengine mimi hushikwa na usingizi'', alisema katika kipindi kimoja cha kanisa hilo cha TV2000 kilichochapishwa katika mtandao wa You tube.

''Mtakatifu Theresa pia alikuwa akilala'', alisema kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 80 kuhusu mtakatifu huyo wa karne ya 19.

Lakini akasema kuwa kushikwa na usingizi wakati wa maombi huwa ''kunamfurahisha mungu na kwamba Wakristo walitakiwa kuhisi kama watoto wanaolalia mkono wa baba yao''.

Ripoti zinasema kuwa papa Francis hulala mwendo wa saa tatu na kuamka saa kumi alfajiri kila asubuhi.
Raia huyo wa Argentina amekuwa kiongozi wa kanisa katoliki tangu 2013 na amekuwa na ratiba ilio na mambo mengi ya ziara za kigeni na mikutano ya kuonekana hadharani.

Amekuwa maarufu kwa baadhi ya mabadiliko na uwazi katika uongozi wake hususan katika utumizi wa lugha ya moja kwa moja inayoeleweka.
 
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
33,832
Likes
13,595
Points
280
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
33,832 13,595 280
Ripoti zinasema kuwa papa Francis hulala mwendo wa saa tatu na kuamka saa kumi alfajiri kila asubuhi.
Almost halali...

Yule ni kiongozi wa Dunia...

Tuzidi kumuombea kiongozi huyu ili aweze kuchunga Kondoo wa Bwana..

Amina
 
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,816
Likes
1,098
Points
280
Age
30
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,816 1,098 280
 
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2011
Messages
33,832
Likes
13,595
Points
280
O

Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Joined Aug 17, 2011
33,832 13,595 280
Roho hi radhi ila mwili ni dhaifu..

Hiyo ni nature ya mwili wa binadamu....

Ukizingatia na umri wake kulala muda huo si lelemama....

Inashangaza vijana wadogo wanalala masaa 12 ...
 

Forum statistics

Threads 1,236,340
Members 475,106
Posts 29,254,803