Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mchungaji Panuel Mnguni wa S.Afrika aliyewahi kutikisa kwa kuwalisha waumini Nyoka sasa kaibuka na nyingine ya kuwalisha mende mbichi na maua yenye sumu. Pia amewahi kudai kumuua shetani...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Benki kuu fanyieni kazi hii changamoto. Mnawanyima vijana fursa kujipatia kipato. Kwanini msiondoe hizo sheria zenu wajasiriamali wapokee malipo mtandaoni? PayPal inawatumiaji wengi sana...
1 Reactions
0 Replies
870 Views
Huyu Rais Mgufuli MCL akisoma hii amini Tutawamis kweli jamani Haya makosa madogo lakini ya effect yake nikubwa kwa mustakbari wa nchi na Tasnia ya uandishi wa habari Kumbukeni Rais Mgufuli...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Maendeleo Dunia nzima yalichangiwa na farasi (mnyama) na kabla ya injini ya gari kugunduliwa walikuwa wanatumia Farasi kwa karibia kila kitu na ndo maana hata uwezo wa injini hutumika neno horse...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Hivi kuna watu wanakagua hili daraja au wamekaa ofisini na kwenye vile vibanda kukusanya hela? Wiki mbili zilizopita nilipita hapo darajani nikaona nguzo imegongwa na hii kingo ya flyover. Ile...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Wanaume wanaobaka hasa wale wanaobaka watoto wadogo, unadhani nini chanzo? I. Matatizo ya akili? II. Tamaa? III. Ushirikina? IV. Hulka mbaya?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wana mjengo huu wa jamii f. Wiki iliyopita kuna mzungu wangu kutoka USA aliniambia nimtumie details zangu zote maana kuna vitu anataka anitumie, sasa je hizo details ni zipi jamani? maana...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari zilizonifikia hivi sasa ni kwamba huko katika kijiji cha Nsimbo Kaliua majambazi watatu wenye silaha za moto wamevamia nyumba ya kadhaa na kupora mali na fedha Katika nyumba moja majambazi...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari. Kwa anaejua vitu muhimu vya kwenda navyo unapoenda kufatilia cheti cha kuzaliwa pamoja na gharama zake. Kabla sijaenda niwe navyo. Ahsanteni [emoji120]
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Nisaidieni jamani Jana nimemskia jamaa mmoja akisema hivyo mbele za watu.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
<table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;"> </td>...
0 Reactions
23 Replies
18K Views
Waliowahi kufika kongwa huenda wakakubaliana na Mimi. Ukiacha sehemu nyingine kama kibaigwa,mbande,mkoka na mlali Kongwa mjini ni sehemu ambayo haistahiri kuwa hata tarafa,hakuna maendeleo yoyote...
5 Reactions
70 Replies
11K Views
Kama Bunge litapitisha mswaada wa kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii kuwa miwili badala ya mifuko mingi iliyopo sasa na baadae Raisi kutia saini,,unadhani nini zitakuwa faida na hasara za...
6 Reactions
32 Replies
6K Views
Naangalia kipindi cha Clouds 360 limepita tangazo linasema " Uzalendo ni kupeana dili " na mkononi nimeshika gazeti la Uhuru lenye habari isemayo Rais Magufuli awabana wapiga dili. Baada ya kusoma...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Yabainika baadhi ya wanachuo wa kike hawaingii darasani, badala yake hubaki bwenini kuwapikia 'boyfriends' wao ambao ni wanavyuo. Karibu Tujadili, nini hupelekea hili?
0 Reactions
3 Replies
5K Views
ZANZIBAR: Watu wawili wamefariki na wengine kadhaa wamelazimika kuhama makazi yao baada ya nyumba 15 kukumbwa mafuriko na kutokana na mvua za Vuli zinazoendelea kunyesha nchini
0 Reactions
4 Replies
988 Views
Habarini, sijui nimepofushwa macho au! Ni kwamba sijawahi waona wanawake waislamu hapa Tz wanaenda msikitini. Ninapokuwa mida fulani vijiweni, ikifika adhana, ni wanaume tu hujisogeza msikitini...
14 Reactions
235 Replies
21K Views
Napenda kutoa ushauri kwa uongozi Wa Tanesco makao makuu watembelee miundo mbinu ya Umeme mkubwa kutoka kidatu/kihansi (Management By Walking Around) wataona towers ziko hatarini kudondoka kwani...
1 Reactions
4 Replies
987 Views
MFANYAKAZI wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick Pella amevamiwa na majambazi wenye silaha na kupigwa risasi, kujeruhiwa na kisha kuporwa fedha zake jana mchana maeneo ya Tabata-Relini...
1 Reactions
49 Replies
8K Views
Back
Top Bottom