Gervas Makalo
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 202
- 230
Imebidi ni tune TBC kwa sababu mtangazaji anakuwa msemaji mkuu anaingilia matangazo na hataki kumruhusu mshereheshaji akatoa maelezo tunajua yuko kwao apunguze Azam ndiyo ianayosikika vizuri atulie