Habari zenu humu, nilikuwa naomba kuuliza kwa wenye uelewa na hili jambo, et maaskari polisi hapa tz makato yao kwenye mifuko ya jamii kama gepf, lapf nk huwa wanakatwa vipi! Kuna mtu kaniambia et wao wanakatwa kuanzia tsh. 15,000 tu na kuendelea kwa kila mwez hivyo mwanachama yeye ndio anaamua kias ila tu kisipungue hapo, je ni kweli? Maana mi kwa uelewa wangu najua mtumishi anakatwa 5% ya mshahara makato ya lazima haishuki na wala haipandi, nakaribisha wenye uelewa hapa wanifungue macho katika hili, naomba kuwasilisha.