Salaam wajumbe!!
Nianze kwa kumshukuru muumba mbingu na nchi kwa hii pumzi maana ni wengi kwa macho yangu nimeona wakitamani hii pumzi ila mungu akawapenda zaidi.
Niende moja kwa moja kwa mada...
Salaam wapendwa,
Roho inaniuma sana ninaposhuhudia ndugu zetu wa upande wa pili wakiwa huru kuoa hadi wake wanne, kwa mambo ninayoyapitia nadhani ni haki yangu roho iniume.Kwa mfano hapa jirani...
Matangazo ya TBC ya TV na RADIO yatazimwa kwa muda leo Jumapili Novemba 5, 2017 ifikapo saa sita mpaka saa saba usiku.
Ili kutoa fursa ya kuwasha mtambo wa kuboresha urushaji wa matangazo ya TBC...
Habari wadau Leo napenda kujuzwa kina stahiki cha kaburi LA mtoto mchanga in futi ngapi?Nimeshiriki mazishi Leo lkn sijafurahia kabisa kina kilichochimbwa[emoji17]
Serikali imeeleza utaratibu utakaotumika kuligawa shamba la eka 326 lililokuwa likimilikiwa na mke wa Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye.
Agosti, mwaka huu Serikali ilibatilisha umiliki wa eka...
Habari za jumapili.
Cha kustaabisha hizi sinena za ngono zinaangaliwa Na mabilioni ya watu duniani. Hivi hawa watu hawana ndugu? Unakuta mama mzima vibibi vizee mibaba inacheza. Kuzini sawa mtu...
Ndugu Watanzania mimi DEOGRATIUS KISANDU ni Baba wa watoto na pia ni Baba kijana mzalendo kwa Taifa letu. Leo nimeonelea kuweka jambo hili wazi ambalo ni vigumu kwa mwingine kufanya kama...
Nitoe tu pongezi zangu za dhati kabisa kwa Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuamua kabisa bila kushinikizwa na Mtu yoyote kumteua Bwana Hassan Abbas kuwa Msemaji wake na pia kuwa ndiyo Mkurugenzi wa...
MAHAKAMA ya hakimu mkazi Arusha imewaachia huru washitakiwa saba waliokuwa wafanyakazi wa benki ya Exim Arusha huku ikiwaweka hatiani washitakiwa wengine sita.
Washitakiwa hao alikuwa...
Kila nchi ilinde mipaka yake,sio nchi moja inapractice ufugaji wa hovyo then wanavusha ng'ombe nchi nyingine kuifanye nayo iwe jangwa, baada ya wamasai wa Kenya kukamata ng'ombe 4000 kama...
Nimekuwa kwa njia fulani nikifanya tafiti kuhusiana na uelewa wa watanzania au wanachama wa jamiiforums. Iimeweza kujifunza kitu flan. Wengi hupenda kujitanabaisha kuwa ni wasomi na wenye elimu au...
Nimejaribu kuangalia huko wenyewe wanasema insta, ala haula.. ule ni mtandao maalum wa mabint kabisa, na hata ukikuta mwanaume kule basi lazima kuna namna fulan hivi itakuwa tu ya kidada dada...
Napenda kuwapa angalizo wafanyabishara hasa wanaofanya biashara mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa.
Kuna kundi la matapeli katika kata ya Rudewa.. Huku wanajulikana kama walebanoni
Hawa jamaa...
Habari zenu wana Jf.
Ni siku chache tangu KUSITISHWA kwa Ajira za Afya tar 31/10. Kumekuwa na Effects nyingi mno kwa hawa vijana. Kibaya zaidi kuna kijana ameacha hadi kazi mahali alipokuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo amewatahadharisha wakuu wa Wilaya na wapenda maendeleo wote Mkoani Rukwa wasiwanyanyase waandishi wa habari pindi wanapohitaji habari za kutangaza fursa...
Ni miezi zaidi ya 5 wilayani Ruangwa umeme haujawahi kukesha lakini jana kuhamkia leo ni furaha
kwa siku hizi tatu ambazo atakuwa na ziara wilayani hapa nafurahi juice zetu hatuta mwaga kama...
Kwanini kampuni zetu za mabasi hazifanyi hivi kuongeza storage, pia kuongeza mapato na ufanisi au Tanzania hatuna mizigo mingi kiasi hicho.
falcon mombasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.