Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bidhaa fake ni bidhaa ambazo ubora wake uko chini ya kiwango na hivyo ni bidhaa zisizofaa kwa matumizi ingawa kwa muonekano zinafanana na bidhaa halisi. Tukirudi kwa binadamu,hivi binadamu wote...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Tukio hilo limetokea hivi punde na mwili wa mfanyabiashara huyo aliyeuawa haujaondolewa uwanjani hapo. Inadaiwa walimpora dukani kwake maeneo Tabata Kimanga wakatoweka na Pikipiki na yeye...
7 Reactions
109 Replies
12K Views
Wizi wa majambazo wanaopora hela umeshamiri Sana Dar es salaa.Vibanda vya mpesa/tigo pesa wanaporwa kila siku. Leo katika hali isiyo ya kawaida Dada mmoja ampigwa risasi na kuporwa hela zake saa...
8 Reactions
107 Replies
12K Views
Hali halisi ya Barabara ya Tandika karibu Akiba Commercial Bank. Gari ndogo ni shida sana kupita barabara hii na daladala ni kuvunja spring kila siku.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana usiku yametokea mauwaji ya mtu mmoja mwanaume kwa kupigwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi katika Bar ya Kadabla iliyopo katikati ya Mbezi kwa Msuguli na Kibanda cha Mkaa.Mauwaji...
5 Reactions
69 Replies
12K Views
Wasalam, Ninamdogo wangu amechaguliwa Vyuo viwili cha kwanza alichaguliwa St Augustine Mwanza na akawaame confirm mkopo wake St Augustine baadae akachaguliwa Udom lakini yeye anapenda kusoma...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Habari wakuu, kama mada inavyojieleza,zamani Tanzania tulifana sana ktk nguvu kazi,naenda mbali zaidi...sasa Ulaya na marekani Huko viwandani,vya magari,meli,machine kubwa na ndogo,Plant za ukubwa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Juzi ndugu yangu alitumiwa hii meseji kwenye simu yake na namba ngeni. Akapiga yule mtu akasema amekosea namba. Lakini kwa kweli iliniuma sana nikamwambie amtumie tu. SIKUWAHI FIKIRIA KWAMBA KUNA...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Tangu Serikali ya awamu ya Tano iingie madarakani na sera ya uchumi wa viwanda, upande wa upinzani umekuwa ukibeza. Mbaya zaidi ni maneno na lugha inayotumiwa humu na wafuasi wa kauli hizo za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wa Jf wenzangu, Husika na kichwa cha habari hapo juu. "Nianze kwa kusema ningekua raisi huyu waziri ningekua nimesha mtimua kazi." kiukweli nimekua mfuatiliaji sana wa namna hii sera ya...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Shule hii imeanzishwa mwaka huu wilaya ya Biharamulo nakupewa jina la Kagango Girls' Secondary School. Lengo lilikuwa zuri la kupunguza idadi ya wanafunzi kutoka shule mama Kagango lakini baadae...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
One day, Rome shall fade and crumble yet you shall always be remembered in the hearts of all who yearn for freedom ... (Spartacus finale) "If they ever tell my story, let them say I walked with...
2 Reactions
0 Replies
854 Views
Akizungumza kutokea ndani ya Hifadhi ya Serengeti, ambapo amefanya ziara ya kushtukiza na kuuzunguka mpaka wote wa Mashariki ambapo hifadhi ya Serengeti inapakana na Pori la Tengefu la Loliondo...
7 Reactions
60 Replies
8K Views
habari wadau.. niko sehemu moja napata ka balimi kangu... kuna jamaa akawa anapondwa na wenzake kisa anafanya kazi kama bank officer crdb kwamba amewatia aibu washkaji zake waliocheza pamoja...
1 Reactions
1 Replies
813 Views
Wadau habari zenu! Kuna hii michezo ya Pesa iliyokuja hivi sasa (Biko,Tatu mzuka na sport Pesa) ambayo ni michezo ya kuweka pesa ili uvune Pesa; cheza zaidi upate hata Mara mia zaidi- Kwakweli...
3 Reactions
47 Replies
13K Views
Wadau naandika kutokea hapa Mbagala kwa Mtogole jirani kabisa na Hajaat FaizaFoxy! Wandugu kuna vishoka kutoka TANESCO jana walifika kwangu na kuwarubuni watoto na kuingia kwenye mita sasa...
1 Reactions
4 Replies
9K Views
How do children in Tanzania use technology? This issue brings us internet safety tips and shows us how young children can get innovative online! Kindly watch this > Sema Magazine Issue 11 and get...
1 Reactions
2 Replies
716 Views
Ndugu zangu kuna tatizo ninalo hapa natumia king'amuzi cha DSTV ila ghafla channel zote hazioneshi hata zile za ndani ya nchi yetu. Wenye uzoefu mnisaidie maana nilisikia eti channel za ndani...
0 Reactions
28 Replies
11K Views
Wanafunzi watatu wa Shule ya Sekondari Ndyuda wamefariki dunia Mkoani Songwe kwa kupigwa na radi kufuatia mvua iliyonyesha jioni hii.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Watumishi 71 wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wanaofanya kazi katika kitengo cha mizani wamefukuzwa kazi kwa tuhuma za rushwa. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads)...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom