Tusaidiane hapa tafadhali


GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
28,517
Likes
33,701
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
28,517 33,701 280
Hivi ' logically ' tu Chombo cha Habari kikubwa na tegemezi nchini Tanzania kuamua kwenda kuwahoji Watoto wa Shule za Msingi tena wa Darasa la Nne na Darasa la Pili juu ya ' Utendaji ' wa ' Mtawala ' fulani kwa miaka yake minne gawanya kwa miwili ni sahihi na lina tija hasa Kimantiki?

Hivi kama kweli wanataka kupata ' mrejesho ' wa Kutukuka wa Uongozi wake wa miaka minne gawanya kwa miwili wa huyo ' Mtawala ' kwanini tu wasingeenda kuwahoji Watu ambao Kiuhalisia kabisa wapo ' matured ' enough na wa kutoka nyanja mbalimbali za Kitaaluma ili waweze kutoa yao ya moyoni?

Hivi nyie Chombo Kikubwa cha Habari na tegemezi nchini Tanzania mnapata faida gani kwa kuwafanya Watanzania wote ni Mangumbaru na Mapopoma? Yaani kabisa Mwandishi wa Habari uliyepikwa Chuoni unaacha kwenda kuhoji Watu wazima na wenye akili zao na unaamua kwenda kuwahoji Wanafunzi wa Darasa la Nne na la Pili ili wakupe ' tathmini ' yao juu ya Uongozi wa miaka minne gawanya kwa miwili ya ' Mtawala ' fulani?

Ni nani ' aliyeturoga ' vibaya hivi Sisi Watanzania ili kama vipi nimtafute na nikamuombe radhi / msahama ili ' atugomboe ' na tusiwe tena Wajinga na Wapumbavu kama tulivyo sasa? Endeleeni kumdanganya ila on the ground hali ni mbaya sana na sivyo kama hivyo mnavyodhani. Naisubiri kwa hamu mno 2020 kwani nahisi kuna ' maajabu ' makubwa yanaweza kutokea nchini Tanzania kama ' haki ' itatendeka na hakutokuwa na ' Ngendembwe / Hila / Figisufigisu '. Yangu macho!

Nawasilisha.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
28,517
Likes
33,701
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
28,517 33,701 280
Inaboa mbaka inachekesha, niliachaga kusikiliza na kutazama hivyo vyombo
Kuna Vyombo vingine vya Habari ukivitizama tu ' Hasira ' zinapanda ghafla na siku yako nzima inaharibika.
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
21,774
Likes
46,581
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
21,774 46,581 280
Halafu wakiwahoji wanakuja na habari wanafunzi watanzania waipongeza sana Serikali kwa kuwatengezea madawati wakati madawati tulichangishwa sisi wazazi
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
28,517
Likes
33,701
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
28,517 33,701 280
Halafu wakiwahoji wanakuja na habari wanafunzi watanzania waipongeza sana Serikali kwa kuwatengezea madawati wakati madawati tulichangishwa sisi wazazi
Kuna vitu vinaudhi na vinakera sana Mkuu. Hasira zimenipanda tayari ngoja tu ni log out nitarudi tena Saa 4 Kamili usiku labda ' Hasira ' hizi zinaweza zikawa zimepungua / zimeisha.
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
28,021
Likes
14,402
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
28,021 14,402 280
NI jambo la kushangaza sana

Ova
 
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
3,978
Likes
1,425
Points
280
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
3,978 1,425 280
Bado mnakiangaliaga tu chombo "hiko!?"
 
The Bleiz

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2012
Messages
3,864
Likes
2,479
Points
280
The Bleiz

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2012
3,864 2,479 280
Hicho chombo kinatakiwa kioshwe kwa jiki na stili waya.
 
social_science

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Messages
727
Likes
699
Points
180
social_science

social_science

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2015
727 699 180
Mkuu genta kuna uzi kule intelligence unaitaji ufafanuzi
 
Ugangaaa

Ugangaaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2017
Messages
230
Likes
276
Points
80
Ugangaaa

Ugangaaa

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2017
230 276 80
Kiukweli tuna safari ndefu sn mbaya zaid kila 1 ameamua kuwa mnafiki ili apate mkate wa kila siku.
 
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
3,978
Likes
1,425
Points
280
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
3,978 1,425 280
Halafu wakiwahoji wanakuja na habari wanafunzi watanzania waipongeza sana Serikali kwa kuwatengezea madawati wakati madawati tulichangishwa sisi wazazi
Wakihojiwa tena, watawaambia mkome kuchakachua data na exchange rates.
 
Swizzy

Swizzy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Messages
754
Likes
422
Points
80
Swizzy

Swizzy

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2016
754 422 80
jana usiku walizima mitambo ili kuongeza ubora wa matangazo, sijui umeboreka? mnao angali mtujuze sisi ambao hatuna hata tv
 
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Messages
5,945
Likes
9,597
Points
280
Age
24
chaliifrancisco

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2015
5,945 9,597 280
Tatizo kiki mkuu.. Zinatafutwa kwa njia za ajabu ajabu
 
K

king suleman

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Messages
1,616
Likes
831
Points
280
Age
26
K

king suleman

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2014
1,616 831 280
Walijua Majibu Watakayo Yapata Dat Why Wakatafuta Majibu Wanayo Yataka
 

Forum statistics

Threads 1,213,559
Members 462,184
Posts 28,482,078