Kumbe ukiwa uwanjani unacheza mpira huwezi ona makosa au kutoa comment ya ukosoaji ila ukiwa nje ya uwanja wewe ukiwa huchezi unaona makosa mengi na kukosoa kunakuwa kwingi
Wakuu zamani nilikuwa najua huu mtandao ni mtandao mahsusi kwa wale wanaoabudu shetani kwa maana nyuzi za kumtukana Mungu na kumuita Mungu majina ya ajabu zilikuwa nyingi sana
Sana sana members...
Kwa nini jeshi hili lisifumuliwe na kuundwa upya? Ni wapi walipo na sifa hizo za kulinda usalama wa raia na mali zao? Tokea enzi za akina Zombe hadi hawa ni wapi tulipo na maendeleo chanya? Si...
Mbalamwezi ikiwa kwenye umbo lake kamili huwa kuna vivuli fulani vinaonekana pale,hivi vivuli vinazungumziwa kwa namna mbalimbali kulingana na mawazo na mazingira tofauti,mfano:
Dodoma
Nikiwa...
Salute.
Natumai wnajf mu wazima wa afya!
Nimekuwa naona viongozi wengi sana wa ngazi mbalimbali wanakosea,na wanajua kabisa kuwa wamekosea lakini wanasubiri watumbuliwe!
Mimi niwashauri wawe na...
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo alimaarufu kama 'Mzee wa Upako' amefunguka na kusema mtu kufa maskini si jambo la kusifiwa hata kidogo kuwa ni uzalendo bali ni Ufala...
Nimechoka kuteswa na wachawi naomba anaejua mtalaamu wa kuwadhibiti hawa watu maana imekuwa kerooo.. Au hata kuwakamata kabisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Tokea nizaliwe na katika kutizama Kwangu kote Ndege Vita za Kitanzania ama hakika sijawahi kukutana au kuiona Ndege Vita ambayo imepita tu muda si mrefu katika anga ya Dar es Salaam ambayo...
Kwa kawaida vyombo vya habari vimezoea kuwaita wanaofanya mauaji kwa kujichukulia sheria mkononi kuwa ‘watu wenye hasira kali’.
‘Wenye hasira kali’ hao wamekatisha uhai wa watu 479 kuanzia...
Kuna MKandarasi kapewa kujenga/kurekebisha Barabara eneo la KITUNDA kuelekea MWANAGATI.Ametelekeza Mradi kumwaga vifusi Barabarani bila kukisambaza wala kumalizia kazi yake.
Hali hii imeleta...
JamiiForums kwa ushirikiano na AIM Group wanafanya utafiti mdogo wenye lengo la kufahamu tabia na namna Watanzania wanavyofanya manunuzi kwa njia ya mtandao.
Kumekuwa na wimbi kubwa la...
Zaidi ya wanafunzi 300 wa vyuo mbalimbali wameweka kambi nje ya ofisi za bodi ya mikopo baada kukosa mkopo huku wakiwa na vigezo
==========
Baadhi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na vyuo...
Kuanzia mwezi Desemba Mwaka huu, Shirika la Ndege la Ethiopia litaanza safari zake kwenda Visiwa vya Zanzibar kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA). Kuanza kwa safari hizo...
Nina swali moja tu. Ukizingatia dunia ya siku hizi inafanya kazi pamoja kuanzia teknologia tunazotumia , thamani ya pesa ya nchi, biashara na uwekezaji. Unaweza ukawa msomi lakini huelewi dunia...
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB imesema hakuna mwanafunzi ambaye atapata mkopo wakati hana vigezo stahiki ambavyo vimeainishwa.
Hayo yamebainishwa leo na Mkurugenzi wa bodi hiyo Abdul Razaq...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.