Jimama Mwizi wa Simu Avua Nguo Hadharani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,109
<table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">
</td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
4712034.jpg

Mwanamama aliyekamatwa akiiba simu alivua nguo zake zote ili kuthibitisha hakuiba simu</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Thursday, July 08, 2010 10:44 PM
Mama mmoja ambaye ni maarufu kwa wizi wa simu kwenye sherehe mbalimbali alitoa kali ya mwaka alipofumwa akiiba simu kwa kuvua nguo zake zote na kubakia uchi wa mnyama ili kuthibitisha hajaiba simu.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Mama mmoja ambaye ni miongoni mwa wanawake wanaotafutwa kila siku kwa wizi wa simu kwenye harusi na sherehe mbalimbali, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukamatwa katika ukumbi wa Delux uliopo Sinza Kijiweni.

Mama huyo amekuwa na tabia ya kujifanya ni miongoni mwa waalikwa kumbe siyo ni mtaalamu wa kuiba simu za watu katika sherehe.

Jumamosi iliyopita aliingia katika ukumbi wa Delux katika harusi ya mmoja wa wafanyabiashara katika maduka ya Kariakoo, aliyefahamika kwa jina la Alexander na mkewe Augustina na kuwa mmoja wa wageni waalikwa kumbe alikuwa na nia ya kukusanya simu za watu.

Harusi hiyo iliyokuwa ikiongozwa na Mc Kibonde ambaye ni mtangazaji wa Redio Cluods ilikuwa ya kufa mtu kwani kila aina ya vinywaji vilikuwepo na akina dada wenye kujishebedua walikuwa na mahala yao.

Wakati mwanamuziki wa kizazi kipya Bushoke akitumbuiza na wageni waalikwa kujitosa ukumbini kwenda kucheza, mama huyo alikusanya simu za watu kiaina na kuanza kutokomea nazo ndipo mmoja wa waalikwa alishtukia dili na kuanza kufukuzana naye wakati akishuka ngazi.

Mama huyo mwizi inaonekana ni mwenyeji wa eneo hilo kwani aliwahadaa walinzi na kukimbilia ndani ya jiko la kupikia la ukumbi huo.

Hatimaye walinzi walifanikiwa kumkamata mama huyo kwenye moja ya korido za Hoteli hiyo, ndipo mama huyo alipoamua kuvua nguo zote hadharani ili kuthibitisha hakuiba simu.

Kwa wakati huo hakuna simu iliyopatikana lakini baada ya kupewa kisago mama huyo alisema kuwa alimpa mmoja wa wahudumu waliokuwa wakihudumia katika sherehe hiyo.

Hiyo ndio ilikuwa nafuu yake kwani walinzi walimuacha na kumfuata mhudumu aliyetajwa ili kuzikusanya simu zilizoibwa.

Picha Zaidi bonyeza hapa NIFAHAMISHE .: PHOTO GALLERY :.
</td></tr></tbody></table>
 
Huyu hakuvuliwa nguo, alivua nguo kwa hiari yake kuwahakikishia kuwa kajakwapua simi za watu

...basi kuna uwezekano mkubwa kuwa ni mwizi wa simu kweli maana mwanamke mwenye staha zake hata kama akisingiziwa kuiba simu hana haja ya kuchojoa zake ili kuwahakikishia watu kwamba hajaiba!

 
...basi kuna uwezekano mkubwa kuwa ni mwizi wa simu kweli maana mwanamke mwenye staha zake hata kama akisingiziwa kuiba simu hana haja ya kuchojoa zake ili kuwahakikishia watu kwamba hajaiba!


Aliiba kweli, si baada ya kisago alisema kwamba amempa mhudumu? Sasa kajidhalilisha mbele za watu wakiwemo na vijana wenye umri sawa na watoto wa kuwazaa, kala kisago na bado simu amezitoa. Kama alijua ameiba kwanini aliamua kujidhalilisha hivyo?
 
...basi kuna uwezekano mkubwa kuwa ni mwizi wa simu kweli maana mwanamke mwenye staha zake hata kama akisingiziwa kuiba simu hana haja ya kuchojoa zake ili kuwahakikishia watu kwamba hajaiba!


Huyo mama ni mwizi kwa sababu muandishi anasema kuna mtu alimuona akisomba hizo simu ndipo alipomfuatilia. Nikiingalia hiyo picha nasononeka moyoni kwamba hivi tunaelekea wapi kama taifa?? Ni kweli mama mtu mzima anaonekana ana afya nzuri kwanini afikie that lowest level?? Najua kuna wengine wanafanya madudu makubwa zaidi ya haya, lakini nani anaijali jamii hii??
 
yaani jamani kuna mambo yanackitisha/sononesha sana kwenye jamii yetu!..ugumu wa maisha unapelekea watu kufanya yacyotarajika.
 
Waliokuwepo walifurahia uhondo wa kuona maungo matamanisho ya huyo jimama,nadhani lazima kuna wakwale walisimamisha na kuomba urafiki.Hii ndio Bongo bwana mkubwa!
 
Labda ili mlazimu kufanya hivyo ili aokoe uhai wake, mmesha sahau mwezi uliopita kule mkoani.... aliuwawa binti eti kisa kaiba simu?? But hii ya kuvua nguo labda alikuwa na kazi nyingine ......

Haikubaliki kama Malaria ingawa madimbwi yapo tutumieni tu net za USA tuwape soko
 
Huyo mama ni mwizi kwa sababu muandishi anasema kuna mtu alimuona akisomba hizo simu ndipo alipomfuatilia. Nikiingalia hiyo picha nasononeka moyoni kwamba hivi tunaelekea wapi kama taifa?? Ni kweli mama mtu mzima anaonekana ana afya nzuri kwanini afikie that lowest level?? Najua kuna wengine wanafanya madudu makubwa zaidi ya haya, lakini nani anaijali jamii hii??

Pamoja na wizi kama kweli kavua nguo bila kulazimishwa basi inawezekana ni exhibitionist.
 
kachojoa nguo......... kapata kibano.........at the end katoa cm........
kaaaazi kweli kweli!!!!!!!
 
Back
Top Bottom