Maswala ya Imani ni magumu mno!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
IMG-20170714-WA0008.jpg


Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Haahahahaha....acha kabisa, usicheze na imani za watu, ni sababu za wao kujumuika, kutengeneza pesa, kusikilizwa, kutafuta wachumba, kutembea tu, kuimba, kufanya zinaa, kutengeneza tabaka lao, kutengeneza jumuiya yao, na mengine mengi tu ya kimwili hasa...kifupi utapeli, na bar owner kawapatia mno..si walikuwa wanasali apate majanga? Ehh wamlipe basi..
 
Back
Top Bottom