Wahusika Daraja La Kigamboni Mnasubiri Hili Jiwe/Tofali Liangukie Gari??!!


RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
33,245
Likes
35,185
Points
280
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
33,245 35,185 280
Hivi kuna watu wanakagua hili daraja au wamekaa ofisini na kwenye vile vibanda kukusanya hela? Wiki mbili zilizopita nilipita hapo darajani nikaona nguzo imegongwa na hii kingo ya flyover. Ile nguzo sasa hivi imeondolewa, ila hili tofali bado lipo pale pale na limekaa vibaya sana kuegamia chini ambako kuna magari yanapita.

Inahitaji nini kuliondoa na kulirudisha hapo lilipochomoka? Au mnasubiri liangukie gari au mtu mwingine agonge hapo ashuke nalo chini?!!

upload_2017-11-7_9-46-58-jpeg.625894
 
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
21,458
Likes
35,609
Points
280
Miss Natafuta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
21,458 35,609 280
utalii wa ndani . ??/hakuna box la maoni hapo mkuu?
 
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
17,668
Likes
51,824
Points
280
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
17,668 51,824 280
Dah.. Kujisahamu ni kwingi sana kwa hawa wahusika wetu.
 
Town Hustler

Town Hustler

Member
Joined
Oct 25, 2016
Messages
88
Likes
93
Points
25
Age
22
Town Hustler

Town Hustler

Member
Joined Oct 25, 2016
88 93 25
Wahusika wapo bize kukusanya mapato kule getini
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,420
Likes
13,558
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,420 13,558 280
Au wanafanya mchakato na upembuzi yakinifu?!!
hahaha labda budget haisomi au wanaogopa kuomba.
wabongo tuna high risk torelance... ila madhara yakitokea tunawahi kulaumiana na kutimuana.
 
luswaguty

luswaguty

Member
Joined
Oct 13, 2017
Messages
87
Likes
27
Points
25
luswaguty

luswaguty

Member
Joined Oct 13, 2017
87 27 25
Kuna timu ya uchunguzi inaundwa usijali tatizo litatuliwa haraka iwezekanavyo
 
M

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Messages
2,033
Likes
3,003
Points
280
Age
34
M

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2016
2,033 3,003 280
Huyo Jamaa aliyegonga hapo inaonekana alikimbia, sasa kuanza mchakato wa kujenga bila kunyoosha maelezo ya traffic inakuwa ngumu. Ndo maana unaona hawa Jamaa wamenyuti.

Inavyoonekana ni gari ndogo na ni nyeusi... Tafadhali wenye gereji toeni ushirikiano.
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
15,262
Likes
27,214
Points
280
Age
75
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
15,262 27,214 280
Usikute bado wanasubiri tume ya uchunguzi.
 
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Messages
1,380
Likes
2,034
Points
280
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2013
1,380 2,034 280
Daaa., hapo kweli ni hatari kwa afya ya Watumiaji wa hyo barabara..,
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
33,245
Likes
35,185
Points
280
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
33,245 35,185 280
Huyo Jamaa aliyegonga hapo inaonekana alikimbia, sasa kuanza mchakato wa kujenga bila kunyoosha maelezo ya traffic inakuwa ngumu. Ndo maana unaona hawa Jamaa wamenyuti.

Inavyoonekana ni gari ndogo na ni nyeusi... Tafadhali wenye gereji toeni ushirikiano.
Gari ndogo isingeweza kukimbia. Maanake imegonga nguzo ya taa kwanza ikalazwa chini ndio akapiga na hio kingo, gari ndogo kung'oa hio kingo hawezi kukimbia.
 
MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Messages
774
Likes
478
Points
80
MakinikiA

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2017
774 478 80
KWELI MADEREVA TZ WASHAMBA TAYARI MMESHAGONGA NGUZO ZA DARAJA, IPO SIKU DEREVA ATATUMBUKIA BAHARINI, NA FLYOVER ITAKUWAJE ?
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
15,262
Likes
27,214
Points
280
Age
75
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
15,262 27,214 280
KWELI MADEREVA TZ WASHAMBA TAYARI MMESHAGONGA NGUZO ZA DARAJA, IPO SIKU DEREVA ATATUMBUKIA BAHARINI, NA FLYOVER ITAKUWAJE ?
Wengi wa madereva watanzania ni sawa na mabodaboda akili zao zimeingiliwa na Virus
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,779
Likes
25,180
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,779 25,180 280
Hii ndiyo CCM mpya viongozi wake wanaishi kwa matukio.
 

Forum statistics

Threads 1,237,969
Members 475,809
Posts 29,308,242