Wilaya ya Kongwa, jimbo la Spika Ndugai ni moja ya wilaya za kishamba Tanzania

Iyegu

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
6,276
12,397
Waliowahi kufika kongwa huenda wakakubaliana na Mimi.

Ukiacha sehemu nyingine kama kibaigwa,mbande,mkoka na mlali Kongwa mjini ni sehemu ambayo haistahiri kuwa hata tarafa,hakuna maendeleo yoyote yanayoonesha kama Jimbo hilo ni la spika wa bunge,nasikia amekaa zaidi ya miaka 20 kama mbunge wa jimbo hilo.

Sijui tatizo ni wagogo au nini

Mihanyeni.

Plata.
 
Tupe na Monduli nako kuna nn?Maana Laigwanan alikaa miaka 25
 
Mtu mwenyewe yule unadhani jimbo lake litakuaje hata hayo ma vx wanayopewa na serikali ingekua kwa akili yake angetumia 109 Rondo mpaka sasa hivi..ni mpori pori sana.
 
Mimi huwa najiuliza inakuaje mbunge anakaa zaidi ya miaka 20 bungeni halafu jimbo linakua namna ile. Na ndio maana anapata hata kiburi cha kupiga watu hadharani.
 
Waliowahi kufika kongwa huenda wakakubaliana na Mimi.

Ukiacha sehemu nyingine kama kibaigwa,mbande,mkoka na mlali Kongwa mjini ni sehemu ambayo haistahiri kuwa hata tarafa,hakuna maendeleo yoyote yanayoonesha kama Jimbo hilo ni la spika wa bunge,nasikia amekaa zaidi ya miaka 20 kama mbunge wa jimbo hilo.

Sijui tatizo ni wagogo au nini

Mihanyeni.

Plata.
Misa, mwasinukaa.
 
hii si sawa.binadamu wote ni sawa na tunastahili heshima.Nimekaa Dodoma.Wagogo ni watu wakarimu sana na wanapenda watu na wana heshima.Mbona omba omba wapo kila mahali duniani?Kuomba ni majaliwa yake mola.Kama huwezi saidia usimsimange.Hujafa hujaumbika usimcheke kilema.
Hahahahahaa! Sasa, kwani ukiwa ombaomba unakuwa kilema? Hatari sana hii!
 
Sijawahi kuwa na mtu wa mfano akawa mgogo kwanza nashangaa Ndugai kupewa uspika Kwa ujumla hilo kabila ni shida
 
Back
Top Bottom