Kuuliza si ujinga, ni kweli south Korea ndiyo watengenezaji wazuri wa meli duniani?

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,083
2,000
Nadhani ni ugiriki na ufilipino.
Kuna Holland, wako vizuri sana.
Haiwezi kuwa ufilipino.
Ila south Korea wako vizuri sana kwa meli za mizigo
Ila South korea itakuwa inaongoza hebu check hizi kampuni zinaongoza
  • Mitsubishi Heavy Industry – Nagasaki, Japan. ...
  • Hyundai Samho – Samho, South Korea. ...
  • Samsung Heavy Industry – Geoje, South Korea. ...
  • Daewoo Shipbuilding – Okpo, South Korea. ...
  • Hyundai Heavy Industry – Ulsan, South Korea.
Unaweza kujisomea hapa utaona kuwa kampuni nyingi zolizo top ten za korea kusini
Top 10 Shipbuilding Companies in the World in 2012
 

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
8,927
2,000
Nisaidieni jamani Jana nimemskia jamaa mmoja akisema hivyo mbele za watu.
Ni kweli South Korea ni moja ya nchi zinazoongoza duniani kwa ujenzi wa meli. Hata baadhi ya kampuni kubwa za ujenzi wa meli za ulaya zinamilikiwa na kampuni za Korea ya Kusini mfano
STX Corporation - Wikipedia ambayo imetengeneza baadhi ya meli kubwa sana duniani kama vile "Independent of the Seas"
 

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,158
2,000
umeuliza swali zuri. Ni kweli na Rais yuko sahihi 100% ....

katika makampuni kumi bora duniani kwa kutengeneza meli.
Matano yanatoka south Korea.
Kati ya hayo matano matatu ndio bora dunia nzima...
na la kwanza linaitwa Hyundai heavy industry lipo sehemu inayoitwa Ulsan

chanzo ni Clarkson world fleet register
 

Madiba

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
420
250
Halafu inategemea source ya fund ya kununua hiyo meli inatoka wapi. Kama ni South Korea, basi masharti yao ni kwamba kampuni itakayojenga meli itatoka huko huko South Korea!!!! Tendai tangazwa kwa makampuni ya South Korea. Kama ilivyokuwa kwenye ujenzi wa MUHAS pale Mloganzila!!
 

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,521
2,000
Yuko sahihi, Ship building yard kubwa na project za meli nyingi kubwa za mizigo huwa ni South korea...
 

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,158
2,000
Halafu inategemea source ya fund ya kununua hiyo meli inatoka wapi. Kama ni South Korea, basi masharti yao ni kwamba kampuni itakayojenga meli itatoka huko huko South Korea!!!! Tenda tangazwa kwa makampuni ya South Korea. Kama ilivyokuwa kwenye ujenzi wa MUHAS pale Mloganzila!!
usiende pembeni kwa muuliza swali, jamaa anataka fact sio politika mkuu.
 

donniebrasco

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
891
1,000
Sina uhakika na hilo lakini naamini hawa WAASIA wanatamba ni kwa ajili ya cost kuwa chini,

Hata MAREKANI , URUSI , NORWAY, UINGEREZA, na nchi nyingine nyingi zilizoendelea naamini ni wazuri katika meli na vingine vingi ila gharama za utengenezaji zinakuwa juu kulinganisha na ASIA.
 

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,521
2,000
Ttzo ni exposure yake imeishia hapo. Ktk mabingwa wa kutengeneza meli wagiriki wako mbele sana hata baadhi ya maandishi yanathibitisha hilo. Tumsamehe
Huwezi kufananisha Ugiriki na korea kwa ujenzi wa Meli kubwa za mizigo, South korea ndio kwenye Ship building yard kubwa na Project kubwa za ujenzi wa meli za mizigo.. Ugiriki labda Cruise ship aka meli za abiria na starehe..
 

JETM

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
437
500
Huwezi kufananisha Ugiriki na korea kwa ujenzi wa Meli kubwa za mizigo, South korea ndio kwenye Ship building yard kubwa na Project kubwa za ujenzi wa meli za mizigo.. Ugiriki labda Cruise ship aka meli za abiria na starehe..
Kwani ss tuanahitaji meli ya mizigo au abiria? Wanaoongoza ni China ikifuata Japan kisha hiyo kampuni ya Hyundai ambayo ipo s Korea. Ila Japan inaongoza kwa kuwa na makapuni mengi zaidi.
 

Jamaa_Mbishi

JF-Expert Member
Jun 15, 2013
7,223
2,000
Mi nafikiri Tanzania ndiyo tunaongoza, umewahi kuona zile meli tulizovumbua kule Ziwa Nyassa? Achana na bongo wewe, sie noma.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom