Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bodi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB imesema hakuna mwanafunzi ambaye atapata mkopo wakati hana vigezo stahiki ambavyo vimeainishwa. Hayo yamebainishwa leo na Mkurugenzi wa bodi hiyo Abdul Razaq...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Explain how psychology change from philosophy to scientific discipline!?
0 Reactions
0 Replies
493 Views
MAPAMBANO ya kutumia silaha za jadi yakiwemo mapanga kati ya wakazi wa Kijiji cha Wegita na Nkerege wakituhumiana kuibiana bangi mashambani, yamesababisha vifo vya watu wawili na wengine wawili...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Naongea kama mtanzania wa kawaida kabsaa,non aligned kabsa..naona sasa hii trend inakua kama kawaida vile,na wanachadema wanajisahau wanawapokea hawa jamaa kwa mikono miwil na tayar wameshaanza...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Jamani nisaidieni hili,kuna baadhi ya watu nimewahi kukutana nao maishani mwangu huwa ni wazito natural,hivi huwa ni nn ? yaan wazito tuu hawapo active ,shida huwa ni nn !yaan namaniisha unaweza...
8 Reactions
116 Replies
8K Views
Kwa hali ilivyo napendekeza Mhe. Kigwangala (Mzalendo) aongezewe ulinzi. Nilikuwa naangalia video ya alichokiongea kuhusu kumsimamisha Mkurugenzi na mikakati ya kuiweka wizara salama, nimehisi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nikiwakumbuka vijana wa pale kijiweni karibu na ofisi yangu wanavyoshangilia makinikia kuzuiwa pale bandarini, ndoto ya kumiliki noah, ahadi za 50M, nk nk.......afu mara paap "braza, leo vimekaza...
0 Reactions
4 Replies
887 Views
Wandugu niko sasa hivi naangalia kipindi kilichokuwa kinaitwa Kipima Joto. Naamini hiki kipindi na jina lake kilitengenezwa kuwa platform ya mijadala yakitaifa ya kuchangia mambo muhimu ya taifa...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
Waswahili wanasema "kupanga ni kuchagua", hivi tunaona jinsi vijana wsnavyohangaika kupata mikopo kwa ajili ya masomo ya elimu ya juu lakini kutokana na ufinyu wa bajeti ni wachache wamepata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Timu ya Uwekezaji katika mambo ya Kibenki ya Benki ya Stanbic hivi karibuni jijini Dar es Salaam, iliandaa mkutano wa ujumbe wa Makampuni 14 ya wafanyabiashara wa Kijerumani yakiwakilisha sekta...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Dar es Salaam. Ofisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi, Desemba 6,2017 atasomewa maelezo ya awali. Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mshtakiwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hi kitu sasa imekua kero na imefikia hatua inachosha kiasi uvumilivu umenishinda kabisa. Nilikua najua hapa kazi ni kazi kweli kumbe Hakuna lolote ni ubabaishaji wa hali ya juu kiwango cha...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu HESLB imesema hakuna mwanafunzi ambaye atapata mkopo wakati hana vigezo stahiki ambavyo vimeainishwa. Hayo yamebainishwa leo na Mkurugenzi wa bodi hiyo Abdul Razaq...
1 Reactions
1 Replies
890 Views
Watanzania wanaosafiri kwenda nchini Msumbiji wamelalamikia kunyanyaswa ikiwemo kupigwa na askari wa mpakani wa nchi hiyo huku wanawake wakilalamikia kupekuliwa na askari wa kiume sehemu za siri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza napenda niseme kuwa kupenda simu yako kupita kiasi ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine ya tabia ya kupenda vitu kupita kiasi yaani (addiction), magonjwa haya hu-tibiwa kwa kupewa...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Nyoka alipenya na kuingia katika karakana ya ufundi seremala. Wakati nyoka anaingia alipita karibu na msumeno wa kukatia mbao, na kudhurika kwa kuchomwa na meno ya msumeno. Kwa ujinga wa kutojua...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Arusha. Vifaranga vya kuku 6,400 vimekamatwa wilayani Longido mkoani Arusha vikiingizwa nchini kutoka Kenya. Vifaranga vilivyokamatwa jana Jumapili Oktoba 29, 2017 vyenye thamani ya Sh12.5...
1 Reactions
161 Replies
13K Views
Hivi inakuaje kwa Mkuu wa wilaya ambaye ni Askari (JWTZ) mwenye cheo cha Kanali, Mfano Mkuu wa wilaya ya Kakonko Kanali Ndagala H.M anapokutana na Askari anayemzidi cheo aidha Kamishna, Brigedia...
0 Reactions
1 Replies
769 Views
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa ametoa kauli hiyo katika mkutano wake na waandishi wa habari ambapo amesema bandari hiyo ilitumika mwaka jana kusafirisha korosho na kufanya vizuri hivyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimefungua kurasa mmoja wa chombo cha habari fulani, kinaarifu kuwa...'wakazi wa Dar Es Salaam wamepongeza utendaji wa miaka kadhaa ya Mkuu'. Maoni ya wafuatiliaji wengi kwa asilimia kama 70 au...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom