Mwaka 2012 nilikuwa Zambia. Shilingi 1 ya Tanzania ilikuwa sawa na Kwacha za Zambia 3.Sasa nipo Zambia Kwacha Moja ni sawa na shilingi 217. Kwa muda wa miaka 4 kumetokea mabadiliko makubwa kabisa...
Ni kuhusu mikesha ya kanisa lake siku hizi kupungukiwa na jambo muhimu, zamani kanisa hili lililo jirani na ka crib changu hapa maeneo ya Nyamanoro na lenye ma speaker ya haja lilikuwa kila...
Kuna mambo nmekumbuka ya zamani nikajkuta naidharau sana leo, ngoja nianze kukumbusha vitu vichache tu na wewe mdau unisaidie kukumbuka:
1.Kila mtaa ulikuwa haukosi mbabe wa mtaa yani anapiga...
What the hell, I am bored with this Ballali stuff as if there is gong to be a resolution and all culprits to be in jail.. as Nyani would say ggrrrrrrr! ahhhhh!
Sasa nawaleteeni kubwa kushereheka...
Lengo la uzi huu sio kukosoa wa kejeli bali kupata uwezo na data za kueleweka kuhusu bidhaa toka nje ya nchi!
Kama taifa tumeshindwa kutengeneza magari, dawa flani,ndege au mashine mbalimbali...
Dar es Salaam. Rahimu Kibinja na wengine wanaofanya shughuli ya kuchimba makaburi, wakikuhadithia mambo wanayokutana nayo wakiwa kazini, unaweza kupata picha, ni kwa jinsi gani binadamu...
Habari ya eid , wanajamvi kama kawaida ni kujuzana yanayoendelea,
Kama kawaida ya wakenya ni kutangaza taifa lao kupitia vituko na mambo baadhi yasiyo wahusu
Mwanasheria wa Kenya Otieno Onyango...
Masikitiko: Kwasababu taratibu za kubaini kaya zilizoathirika na tetemeko zilikabidhiwa mikononi mwa wenyeviti na watendaj wa mitaa, vijiji na kata, tulitegemea wangezifikia kaya zote kwasababu...
Habari za wakati huu wanaJF
Natumai kwema kabisa na wale wengine ambao mambo hayajawaendea vyema basi muongeze jitihada na kutatua matatizo hayo.
Husika na kichwa cha mada hapo juu.
Mimi kama...
Wizara ya nishati tunaomba tukumbukeni vijana mlio tusomesha fani za MAFUTA NA GESI.
Wapo vijana mliowasomesha
Shahada ya Kemia ya Petroli (BSc Petroleum Chemistry)
Shahada ya uhandisi wa...
USHAURI KUTOKA KWA APOSTLE DIONIS MTALEMWA
Diplomatic service 12/4/2016
✅ Usiishi maisha ya kumtegemea mtu awaye yeyote. Jishughulishe mwenyewe kwa bidii. Mana kama unamtegemea mtu siku huyo...
Salam!!
Mama yangu mdogo alinunua kifurushi cha Azam Pure cha shilingi 18000, sasa tangu anunue ni wiki ya pili hii chaneli ya Azam Sports HD haikuwahi kuonekana na hii anasema sio kawaida yani...
Zaidi ya ekari 263 za mashamba ya Bangi yakiwemo magunia 262 ya Bangi kavu yamekamatwa na kuteketezwa katika oparesheni kali inayoendeshwa na vyombo vya ulinzi na usalama wilayani Tarime mkoani...
Mkuu wa JKT Naandika nalia,kwa nn yatima Justine mwenye 28 amekosa nafasi?
Kiukweli jkt itabeba ndgu fulani,sio ajira kwa nn mmewaacha vijana tena kwa rushwa ya nduguruziotion?
Habati,
Hii kwa kweli haikubaliki, nijuavyo mimi barabara hizi za mabasi yaendayo haraka aka mwendokasi ni mahususi kwa ajili ya hayo mabasi tu.
Hata ambulance huwa zinaachwa zipite kwa kigezo...
Arusha. Madaktari wa Mifugo wa Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro(NCAA) kwa kushirikiana na wataalam wa Taasisi ya wanyamapori (TAWIRI) wametumia saa matatu kumfanyia upasuaji simba ambaye ni...
Habari JF
Maisha ukiyatafakari unaweza shikwa na mfadhaiko daima.
Liko jambo kila nikilitafakari mwisho wake huniachia maswali mengi.
Jambo hilo ni UKWELI
Nenda kaskazini, magharibi au rudi...
Hiki ni moja ya kisu hatari zaidi duniani kuwahi tengenezwa!.
Jina lake linatokana na kikosi cha kijeshi cha Austria kilichoundwa kipindi cha vita ya kwanza ya dunia (ww1). Jagdkommando...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.