Nimeshangazwa na msafara wa wafuasi wa CCM ukipita barabara ya mwendokasi na polisi hawawakamati

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
32,322
29,583
Habati,

Hii kwa kweli haikubaliki, nijuavyo mimi barabara hizi za mabasi yaendayo haraka aka mwendokasi ni mahususi kwa ajili ya hayo mabasi tu.
Hata ambulance huwa zinaachwa zipite kwa kigezo cha "yumani fesi.

Sasa leo nimeshangaa naona msafara wa boda boda kama 30 na gari kadhaa zikiwa na bendera za sisiemu zikipita hiyo barabara ya mwendokasi kuelekea Kimara tena kwa vigeregere na honi kibao na polisi wala hawawakamati.

Sikufanikiwa kuzipiga picha! Kulikoni?
 
Habati.

Hata ambulance huwa zinaachwa zipite kwa kigezo cha "yumani fesi. Sasa leo nimeshangaa naona msafara wa boda boda kama 30 na gari kadhaa zikiwa na bendera za sisiemu zikipita hiyo barabara ya mwendokasi kuelekea Kimara tena kwa vigeregere na honi kibao na polisi wala hawawakamati. Sikufanikiwa kuzipiga picha!
Kulikoni??
Hawajang'olewa tairi?
 
Barafuyamoto Lumumba wameshakurudishia akili zako?
 
Habati,

Hii kwa kweli haikubaliki, nijuavyo mimi barabara hizi za mabasi yaendayo haraka aka mwendokasi ni mahususi kwa ajili ya hayo mabasi tu.
Hata ambulance huwa zinaachwa zipite kwa kigezo cha "yumani fesi.

Sasa leo nimeshangaa naona msafara wa boda boda kama 30 na gari kadhaa zikiwa na bendera za sisiemu zikipita hiyo barabara ya mwendokasi kuelekea Kimara tena kwa vigeregere na honi kibao na polisi wala hawawakamati.

Sikufanikiwa kuzipiga picha! Kulikoni?
Picha tafazali
 
Back
Top Bottom