Ushauri kutoka kwa wataalamu wa mambo

Willy T

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
253
91
USHAURI KUTOKA KWA APOSTLE DIONIS MTALEMWA

Diplomatic service 12/4/2016

✅ Usiishi maisha ya kumtegemea mtu awaye yeyote. Jishughulishe mwenyewe kwa bidii. Mana kama unamtegemea mtu siku huyo mtu akiondoka maishani mwako utapata tabu. Mtegemee Mungu na fanya kazi kwa bidii.

✅ Usiwe na mlango mmoja wa kipato. Shetani anaweza kukuharibia ukaingia kwenye tabu hivyo ukiwa na mingi hata mmoja ukiyumba waweza tegemea hiyo mingine.

✅ kiwango chako cha matumizi kisizidi kiwango cha uwekezeji. Wekeza zaidi.

✅ unapofanya biashara yeyote hakikisha inakupa 10% au zaidi ya faida. Chini ya hapo usifanye.

✅ kamwe usiogope kuthubutu katika biashara. Anzisha kitu kipya ambacho hakipo.

✅ Usiishi bila akiba. Akiba itakusaidia.
 
Back
Top Bottom