Wakuu habari,
Ninaomba kama kuna mtu anaejua sehemu wanapouza zile sigara za kizungu marufu kama cigar naomba aniambie kuna best angu wa kizungu anazitaka.
Natanguliza shukrani.
Imekuwa ni kawaida katika jamii kuwaona watu ambao hujiita askari shirikishi
Wakifanya kazi yakuwakamata raia katika mitaa ya Dar Es salaam na maeneo mengineyo katika nchi ya Tanzania.
Pamoja na...
Kuna chuo kimoja MAARUFU cha afya kipo maeneo ya kimara,kila mwezi kinatangaza NAFASI za kazi kwenye tv ususan star Tv kwa ajili ya wakufunzi najiuliza watu huwa hawaaply?
Nimeona leo...
UMESHAWAHI KUFANYA HILI JARIBIO.?
Mchukue chura then muweke kwenye chombo ambocho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake...
Kwanza nianze kwa kuwapongeza kutoka na jinsi mnavyo i challenge serikali ya awamu ya tano, challenge hizi ndizo zinazomfanya mkuu asijisahau katika kuwatumikia watanzania.
Napenda sana mkuu...
Tukiwa tumebakiza miezi michache kuumaliza mwaka 2017 hebu tuambiane ni kitu gani muhimu umekifanya mwaka huu.
Maana kila mwaka unapoanza watu huwa tuna malengo fulani ya kufanya kabla mwaka...
Asubui hii kwenye matembezi nkmekutana na hili Tangazo kuhusu utalii.
Nimefarijika ila kuna jitihada zaidi zinahitajika, Kenya wanauzwa kama ndio Main meal sisi kama chachandu.
Je inawezekana...
Mobutu nae alijidai kupenda sana kijijini kwao mpaka akaamua kujenga ikulu ndogo kijijini kwao pamoja na kiwanja cha ndege.
Ikulu hizi sasa hivi zimetelekezwa na zinajulikana kwa jina maarufu kama...
Uwanja wa ndege wa KILIMANJARO umekuwa ukitumika kuhujumu nchi yetu kwa kusafilisha TWIGA, FARU, KENGE n.k kwa njia za magendo kwenda nchi za nje, ni kwa nini serikali isiufunge na kuubomoa ili...
Kama ilivyo mwiko kwa mwanaume wa Kiafrika aliyeoa kuingia jikoni,basi kuna baadhi ya vitu mwanamke hatakiwi kufanya katika maisha yake.
Wataalam wanashauri mwanamke anashauriwa hasiendeshe gari...
Serikali imesema baadhi ya vifaa tiba vya matibabu ya mionzi vitaanza kuzalishwa nchini baada ya kuingia makubaliano ya ushirikiano na Kampuni New Soft ya China.
Baadhi ya vifaa hivyo ni...
"Eti, ikitokea watu wawili wamefunga ndoa ya KIKRISTO pindi wakiwa wakristo, halafu baada ya muda wote wawili wakaamua kuslimu na kuwa waislamu. Je watafunga tena ndoa ya kiislamu?
Darasa huru...
Awamu tano iliingia madarakani kwa kufanya maamuzi makubwa mwanzoni na kuonyesha muelekeo wa nchi kiutendaji na kimaamuzi na watumishi wengi waliona kuwa uongozi huu unaweza kuwa mkombozi mkubwa...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka wananchi wasikubali kupatiwa huduma na mtu wanayemtilia shaka.
Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi ya TRA makao makuu imetoa taarifa hiyo kwa umma...
Wadau niwatakieni kheri ya Jumapili,
Naamini wengi mmesoma habari za yule jemedari mkuu aliyepata sifa kubwa za uhodari na ujasiri na aliyeongoza jeshi kubwa sana miaka hiyo.
Kwa bahati mbaya...
Watu wanne wamedaiwa kufariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya magari mawili Toyota Noah na Lori la maji kugongana katika maeneo ya Kikafu, Sadala mkoani Kilimanjaro.
Ajali hiyo mbaya...
Salaam
Kwa utafiti nilioufanya leo asubuhi,inaonesha jukwaa la utambulisho/intro forum,watu jinsia ya kike wanapata mapokezi makubwa na ya kipekee kuliko watu wa jinsia kama yangu.
Tuache ubaguzi...
Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro kwa kushirikiana na Maafisa wa Uhifadhi wa Wanyamapori wamefanikiwa kumkamata jangili akiwa na meno ya Tembo 5 yenye thamani ya MIL 100 na mshitakiwa yuko kituo cha...
Naona kadri siku zinavokwendwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam anapata sifa nyingi sana kutoka kwa watu mbali mbali hasa Rais wa nchi, lakini ukiangalia kiuhalisia sifa anazipata nyingi zinatokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.