Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari ya wakati huu wakuu. Kwa wale wahasibu na wakaguzi wa mahesabu ya serikali mnaweza kua mnajua hili. Zamani bodi ya wahasibu na wakaguzi ilikua inamtaala wa masomo 6 kwa wale waliokua na...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Muda sio rafiki wa binadamu hata siku moja Mwenyeezimungu alituumba sisi tuishi kwa wema bila kutendeana maovu,tuheshimiane ili kuweza kutekeleza malengo yetu ya kuumbwa hapa Duniani. Kuanzia...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe, Mkoani Njombe, Ally Kasinge ameagiza kushikiliwa kwa Makamu Mkuu wa shule ya sekondari Wanike, iliyopo katika wilaya hiyo baada ya kukamatwa akifanya mapenzi na...
4 Reactions
203 Replies
40K Views
Sijaona sababu za msingi za kuwa na utitiri wa bodi na mawakala wa barabara ilihali kazi wanazofanya ni zile zile. Kazi ya Roads fund board na kazi za Tanzania Rural Roads Agency (TARURA) zote...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
share your memories walimu. James , Julius , mbazigwa, matata , Manama, mbuya , ng'ong'o , bange, mchala , Sr. Kimati, Sr edgara, shirima, muwowo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natoka Moshi naenda arusha. Imenichukua dk90 kufika mto kikavu kiukweli gari hazisogei.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wanajamvi,nimepata ziara ya kikazi kwenda Moshi mjini. Naomba kufahamishwa sehemu nzuri kwa ajili ya malazi(budget tsh 25-50),pia sehemu nzuri kwa kujirusha (night life),pia sehemu nzuri...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Wakuu Salama! Mwanzoni nilikuwa natumia Airtel lakini kwa shida sana kutokana na kasi yake ndogo hapa nilipo(Iringa Mjini) , lakini nikaja kuiweka pembeni nikahamia Halotel . Juzi katika...
3 Reactions
62 Replies
7K Views
MIE nilikuwa rudn kuanzia 2008 namkumbuka yule rector Slava katika African section. Karibuni hapa tufahamiane na tujikumbushie out good times at Moscow and Sankt Petersburg Sent using Jamii...
3 Reactions
111 Replies
11K Views
1.Ikungi,Singida Terrible Accident happened ikunga, Singida between Land Cruiser T862 DJW and Taqwa bus from Kampala THIS HAPPENS WHEN YOU DONT WEAR SEATBELTS And this at Moshi mteremko wa...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Watu wengi matajili bongo hii ukichunguza utajili wao haueleweki; Miaka ya hivi karibuni wizara ya elimu ya juu walikuwa na utaratibu Wa kutangaza "Application Form" za kujiunga na chuo kikuu...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
-Ulinzi dhidi ya mwanga hatari wa jua. Jua linatoa miale ya UV ambao unaharibu ngozi. Watu wenye rangi nyeusi wana protin ya melanin nyingi inayokinga ngoz dhidi ya miale hii. Kwa wasio na melanin...
3 Reactions
2 Replies
5K Views
Hi wadau nimepanda ekari tatu za mahindi ya kuchoma kuna panya wadogo wekundu wanakula mbegu nilizopanda Kwa mstari.Usiku ukiwasha tochi unaona macho yao kama ya paka wamenipa hasira nimewawekea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa kawaida kwa nchi yetu kuna sheria na miongozo mbali mbali, Nauliza kwa tanzania yetu hii ni adhabu gani mtu atakayevamia msafara wa rais? ONA video
5 Reactions
44 Replies
10K Views
Ajali mbaya imetokea muda huu maeneo ya kikavu kwa Sadara Mkoani Kilimanjaro baada ya gari kubwa la Kilimanjaro lililokuwa likiovateki gari lingine na kukutana ana kwa ana na Gari ndogo aina ya...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Ajali imetokea mchana huu maeneo ya Kideka, Wilayani Ikungi mkoani Singida kati ya gari ndogo aina ya Toyota Land Cruiser yenye namba za usajili za T862 DJW kugongana uso kwa uso na basi la Taqwa...
0 Reactions
50 Replies
13K Views
Hebu tupeane mawazo wadau mpka sasa unafikiria nini cha kufanya ili kupambana na hali ya maisha. Maana hali imekuwa ngumu kinoma Mimi upande wangu Nina mpango wa kuachana na pombe kipindi hiki...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
1.Wangekaa kimya kama walivyoamua kukaa kimya hivi sasa au wangemuita fisadi na mbinafsi? 2.Je,wasingetaka kuandamana nchi nzima? 3.Je,mtu kama Polepole au Nape leo hii angesema nini? 4.UVCCM...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom