Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari ya jioni wanajamvi Naleta uzi kuomba mwongozo kwa jambo lilotokea hivi karibuni. Nakumbuka mh Diwani wa Mbagala na mwenyekiti wa Yanga alipokuwa na kesi ya madawa alimtumia wakili mwenye...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
Wale watu ( TIS) wanaitwa Usalama wa Taifa lakini kazi yao zaidi ni kuwalinda viongozi wa Serikali. Ingekuwa sahihi zaidi wangeitwa Usalama wa Serikali. Serikali siyo Taifa. Mtu anaweza kuwa adui...
1 Reactions
4 Replies
649 Views
Mtu mmoja wamefariki dunia na wawili kujeruliwa katika ajali iliyotokea katika eneo Kikatiti jijini Arusha iliyohusisha lori lililobeba matofari kuyagonga magari sita yaliyokuwa mbele yake...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mchungwa kamwe hauwezi zaa papai Wazungu husema "gabege in, gabege out " Huwezi panda, kutojiamini, mashaka, uvivu, chuki, fitina, majungu na wanafiki ukategemea kupata watu wanaojiamini...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Chama cha wamiliki wa mabasi TABOA na chama wamiliki wa daladala mkoa wa Dar es Salaam-UWADAR-wamesema hakutakuwa na mgomo siku ya jumanne na wataendelea kutoa huduma ya usafiri nchini nzima kama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bwana asifiwe wapendwa ! Vitabu vya Injili vimeagiza Wakristo kuihubiri Injili ya Yesu kwa watu wote na kuwafundisha kuishika kweli yote. Cha ajabu, wote umtaja Yesu na kuamini katika Biblia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi limesema linashauriana na taasisi nyingine za serikali kuona kama wanaweza kumpima Dkt. Shika kabla ya kumfikisha mahakamani, kwa sasa Dkt. Shika anaendelea kusota mahabusu na...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Naomba mamlaka ya ajira ya Baraza la Ardhi Moshi iangazie mwenyekiti anayeitwa J.W Sillas kwani hatendi haki akiwa anasikiliza mashauri mbele ya mahakama ya Ardhi. Ukifika pale kama unashauri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale wenzangu na mimi, watumishi wa Serikali walojiunga na watumishi portal. Taarifa katika kipengele hiki bado ni za tangu april 2017. Ilipoanzishwa wahusika walikuwa wakijitaahidi kuhuisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Tanzania wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Bwana JOSEPH NDALAMA, amepongeza hatua iliyochukuliwa na serikali ya kuahidi kuyalipa madeni ya walimu wanayodai, ambayo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Zamani ukifika kanda ya ziwa matajiri walikuwa ni KISHIMBA NA NDEGESERA NA SIMON KISENA Lakini kuna matajiri...
8 Reactions
229 Replies
52K Views
Anaandika Deogratious Rulangaranga Nasikitika sana kuwaambia ndugu zangu wote kwamba siku ya Jumanne tarehe 7 mwezi huu mwaka 2017 nilipotelewa na ndugu zangu wanne ambao ni Mke wangu Sayuni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kuna television mpya bado ipo kwenye matangazo/utambulisho na inajulikana kama Jason television (JTV). Kwa Dar inapeperuka kweli kweli ila inachokera ni kwamba inaonesha bongo movies...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Siku chache baada ya Rais Dkt John Pombe Magufuli kuhimiza operesheni ya kuondoa mifugo kwenye misitu ya hifadhi na mapori ya akiba hapa nchini imeibuka biashara haramu ya kupiga chapa mifugo ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
RPC wa Kinondoni-Charles Kenyela POMBE kali (Whisky) aina ya Jacky Daniel, imetajwa kama chanzo cha kifo cha mwigizaji nyota wa filamu nchini, Steven Charles Kanumba aliyefariki usiku wa kuamkia...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la utetezi katika kesi ya kutakatisha fedha inayomkabili aliyekua Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Jamal...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Majirani tumelalamika vya Kutosha tu kuhusu Kelele za huyu Mbwa wa Jirani yetu lakini kwa bahati mbaya sana mwenye Mbwa amejawa na Kiburi, Dharau na Jeuri na wala hatujali Sisi Majirani zake. Ni...
12 Reactions
91 Replies
12K Views
MWALIMU Joshua Sutcliffe wa Oxfordshire, Uingereza, ameingia matatani baada ya kusimamishwa kazi kwa kumwita kwa ‘bahati mbaya’ mwanafunzi wa kiume kuwa ni msichana. “Nilimwita mvulana mwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwamba......hata Maprofesa wanaosha vyombo kama kazi yao ya ziada kujiongezea kipato??!! Mlioishi huko na embu mtutoe sintofahamu hii. Hii ina ukweli kwa kiasi gani? Kama maprofesa wanaosha...
7 Reactions
64 Replies
13K Views
Back
Top Bottom