Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,531
What the hell, I am bored with this Ballali stuff as if there is gong to be a resolution and all culprits to be in jail.. as Nyani would say ggrrrrrrr! ahhhhh!
Sasa nawaleteeni kubwa kushereheka siku ya Mashujaa hapa Marekani. Pambano kati ya Field Marshal ES na Kuhani Mkuu.
For a while nimeona hawa wakulu wawili wakitoana ngeu, kukehebiana, vijembe na vinsu vyose, sasa kwa nini Mchungaji Mwanamapinduzi aliyejaa neema na upendo asianzishe mpambano kati ya hawa mafahali wawili?
Mods naomba msiondoe hii thread hapa kuipeleka kwenye nyepesi au udaku mpaka mchuzi umwagike, mtu apigwe ndoo, mikono itembee na tujue nani zaidi, ni FMES au Kuhani Mkuu?
Let the fight begin. Tunatafuta shujaa mpya!