The Jagdkommando Tri-Dagger Knife: Kisu kilichozuiwa tumika vitani.

Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,313
12,123
Hiki ni moja ya kisu hatari zaidi duniani kuwahi tengenezwa!.
Jina lake linatokana na kikosi cha kijeshi cha Austria kilichoundwa kipindi cha vita ya kwanza ya dunia (ww1). Jagdkommando humaanisha kwa kiingereza human hunting.
Mtu aliyechomwa na kisu hiki hutokwa na damu nyingi sana kutokana na jinsi tundu lilivyo kubwa na itachukua timu kubwa ya madaktari kuweza lishona tundu.
Kimuundo, Nyuma ya kisu hiki kuna uwazi/tundu ambalo unaweza kuweka kitu chochote ndani yake mf. kamba.
Kutokana na utengenezwaji na madhara yatokanayo na kisu hiki, Umoja wa Mataifa (United Nations) kupitia mkataba wa Geneva Convention on Certain Conventional Weapons ( CCW or CCWC ), wa mwaka 1980 ilibidi ikizuie kisu hiki kutumika kwenye uwanja wa vita kwani madhara yake ni makubwa madaktari kuweza kuyatibu ndani ya wakati.
14c746dfc5c277f3cddd3c66bcd5a03e.jpg

c1aaf43c11567c3c0624221e330a03c3.jpg

efa129f93b1e24c3173fcd7e80feb6d7.gif

Bei yake pitiaMicrotech 105-7TI Titanium Jagdkommando Fixed 7 inch Tri-Edge Dagger, Bead Blast Finish, Black Aluminum Sheath
 
Mh!!, hilo Dagger si la mchezo mchezo, kweli hilo likizama tumboni huponi asee, linachana kila kitu kwa hizo pembe
 
Mh!!, hilo Dagger si la mchezo mchezo, kweli hilo likizama tumboni huponi asee, linachana kila kitu kwa hizo pembe
fikiria upo vitani umetumbuliwa nalo , bora walivyolizuia ingawa hawa jamaa nao siwaelewi inakuaje wanapanga hadi vifaa vya kutumia.
 
Back
Top Bottom