Wahusika wa King'amuzi cha AZAM msaada tafadhali.


Eng Inc

Eng Inc

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2017
Messages
311
Likes
264
Points
80
Age
27
Eng Inc

Eng Inc

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2017
311 264 80
Salam!!
Mama yangu mdogo alinunua kifurushi cha Azam Pure cha shilingi 18000, sasa tangu anunue ni wiki ya pili hii chaneli ya Azam Sports HD haikuwahi kuonekana na hii anasema sio kawaida yani yeye akinunuaga lazima ionekane mbaya zaidi na leo Azam SPORTS 2 nayo imekata inaandika Access Denied (Picha naiweka). Hadi nimeomba msaada humu naimani tatizo limeisha maana alinipigia simu kuniuliza afanyeje nikamwambia awapigie simu akasema hawezi kuwapigia maana chaneli zingine zinaonyesha alafu hiyo tu ndo haionyeshi hawezi kupoteza vocha kifurushi anunue na simu apige kisa ishu za kiufundi. Nimeona nije humu huenda kwa naomna moja au nyingine naweza nikapata suluhisho nikampatie ili nini afanye.
Wahusika wa AZAM na wadau wengine mlio humu naomba msaada tafadhali, Natanguliza shukrani.
20171112_192045-jpg.629547
20171112_192045-jpg.629547
20171112_192045-jpg.629547
 

Forum statistics

Threads 1,235,977
Members 474,928
Posts 29,242,380