Nicolaus Ngaiza anusa harufu ya ufisadi juu ya tetemeko Kagera

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,695
2,000
Masikitiko: Kwasababu taratibu za kubaini kaya zilizoathirika na tetemeko zilikabidhiwa mikononi mwa wenyeviti na watendaj wa mitaa, vijiji na kata, tulitegemea wangezifikia kaya zote kwasababu ndiyo wapo karibu nao, cha ajabu watu wengi hawajafikiwa hasa Bukoba vjjn, najiuliza swali mwakilishi wa wananchi anayetakiwa kushugulikia hilo haoni, na misaada inayoendelea kuhamasishwa kuchagwa ni ya kina nani, na mwenyekiti, mtendaji, diwani na mbunge mtarudije kwa watu hao km mmeshindwa kuwajali wakati huu????

Alisema Nicolous Ngaiza mkazi wa Bukoba
1473957041773.png
1473957046771.jpg
1473957050179.jpg


Anayoyasema yana ukweli
Pia kuna ambao nyumba zimepata nyufa na nyingine mtikisiko zitaanguka baada ya mwezi mmoja, hawa watathaminiwa vipi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom