Bila ya Shaka Mko vizuri Wakuu na Poleni na Uchovu wa weekend
Kama Mzazi Mlezi ninasikitishwa sana na Vitendo vya Ukahaba Vinavyoendelea ktk Maeneo ya Shule ya Msingi Kitangiri
Shule ya Msingi...
Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Ruvuma kimewafungia leseni madereva tisa wa magari ya abiria waliosababisha ajali na kusababisha vifo vya watu na majeruhi ikiwa ni mikakati ya kikosi hicho...
Sijawahi kusikia nchi yoyote Dunia hii ikitaka kuandika Katiba mpya bila ya kuwa na political crisis yoyote ile, lakini nasikia kila siku watu hapa bongo tena wanaojiita wasomi wakidai Katiba...
Mbunge wa Chalinze (CCM) Ridhiwani Kikwete amesema kupitia akaunti ya ya Twitter kuwa watu tusibeze hatua zinazochukuliwa na Mh Waziri, tumpe moyo wa kupambana na matokeo ya matendo yake ndiyo...
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Mkinga imekamata shehena ya mafuta ya Taa kutoka nchi jirani ya Kenya yaliyoingizwa nchini bila kulipiwa ushuru kwa madai kuwa baadhi ya wafanyabiashara...
hizi siku mbili tatu nimekuta threads nyingi sana zikihusiana na mwanamke mmoja anayeitwa lulu.binafsi sikuwa nikimfahama mpaka hizi week mbili tatu nilipoona kila sehemu anazungumziwa na nikataka...
Nipo ORCI. Yaani Ocean Road Cancer Institute
Tokea saa kumi na moja asubuhi. Utaratibu ni mbaya, huna pesa humuoni doctor. Hapa ndipo unatakiwa ujiongeze.
Tusaidieni, huu ugonjwa ni mbaya saaana.
Wakuu heshima zenu,
Nimekaa nikafikiria, kwa dunia ya sasa ilivyo na changamoto, naona watu wema ni vyepesi sana kushikwa na magonjwa ya msongo wa mawazo kama vile presha, vidonda vya moyo, n.k...
Baada ya Mahakama kumkuta Msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’ na hatia ya kuua bila kukusudia na kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, Wakili wa Msanii huyo, Peter Kibatala amesema wanakusudia...
Nasikitika sana kuwaambia ndugu zangu wote kwamba siku ya Jumanne tarehe 7 mwezi huu mwaka 2017 nilipotelewa na ndugu zangu wanne ambao ni Mke wangu Sayuni Nsoro, mdogo wangu Denis Rulangaranga...
Habari Wana JF
Awali ya yote napenda Kumshukuru Mungu kwa kuendelea kutuweka hai
Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi kuhusu zao la mahindi kupoteza thamani kutokana na ufungaji wa...
Wandugu,
Nafikiria kwenda kufanya utafiti kipi kitafaa kuwekeza ndani ya kisiwa sahaulifu cha Mafia. Ila nilipenda kujua kwanza maisha ya kule yapoje?
Biashara gani itanilipa. Watu wa kule wapo...
Hivi Lulu wakati anakuwa na mahusiano na Kanumba si alikua ana umri chini ya miaka kumi na nane, sasa kwanini hukumu imekuja kufanyika wakati tayari ameshakuwa na umri wa utu uzima kwanini...
HABARI,
Nimepata shauku ya kulisema hili kuhusiana na sakata linaloendelea la Kungombania madaraka ndani ya chama cha ZANU-PF na hili linachangiwa sana na mke wa raisi huyo BIGrace Mugabe kutaka...
Kuna taarifa iliyoletwa humu toka kwa katibu mkuu utumishi kwenda kwa maafisa utumishi ikiwataka wafanye marekebisho ya barua walizonazo watumishi ambazo walikabidhiwa tangu mwaka 2016 baada ya...
Kanuni ya "the Winning Edge" inasema Kuwa watu ambao wanafanakiwa kwenye Maisha sio kwamba wana uwezo Mara kumi zaidi au akili Mara dufu zaidi ya Wale ambao hawajafanikiwa bali ni kwa sababu...
Baadhi ya Wakandarasi tabia zao hazifai kibnadam,Hufungua kampuni wakati ujuzi wa kazihiyo hana,ok hilo sioshida sana wala tatizo sababu unaruhusiwa kutafuta wataalam ili waweze kufanya kazihizo...
Uwanja wa Ndege ... Unatofauti sana na Vituo vya usafiri Wa namna nyingine. Tujiulize kuna faida gani ya kimapato kumiliki uwanja wa ndege na inatoka wapi faida hii!
Uwanja wa ndege hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.