Maisha ndani ya kisiwa cha Mafia yapoje?

Maisha ndani ya kisiwa cha Mafia yapoje?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,674
Reaction score
3,743
Wandugu,

Nafikiria kwenda kufanya utafiti kipi kitafaa kuwekeza ndani ya kisiwa sahaulifu cha Mafia. Ila nilipenda kujua kwanza maisha ya kule yapoje?

Biashara gani itanilipa. Watu wa kule wapo vipi je huduma muhimu kama umeme maji na mawasiliano yapo? Usalama kule je upoje.

Naomba mwenye uzoefu kidogo anisaidie
 
Wandugu nafikiria kwenda kufanya utafiti kipi kitafaa kuwekeza ndani ya kisiwa sahaulifu cha mafia. Ila nlipenda kujua kwanza maisha ya kule yapoje? Biashara gani itanilipa. Watu wakule wapo vipi je huduma muhimu kama umeme maji na mawasiliano yapo? Usalama kule je upoje naomba mwenye uzoefu kidogo anisaidie
wakati unasubiri wenye kujua waje, kwanza pata starter kwa ku google.....
 
Back
Top Bottom