Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya Mahakama kumkuta Msanii Elizabeth Michael ‘Lulu’ na hatia ya kuua bila kukusudia na kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela, Wakili wa Msanii huyo, Peter Kibatala amesema wanakusudia...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Nasikitika sana kuwaambia ndugu zangu wote kwamba siku ya Jumanne tarehe 7 mwezi huu mwaka 2017 nilipotelewa na ndugu zangu wanne ambao ni Mke wangu Sayuni Nsoro, mdogo wangu Denis Rulangaranga...
6 Reactions
110 Replies
12K Views
Habari Wana JF Awali ya yote napenda Kumshukuru Mungu kwa kuendelea kutuweka hai Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi kuhusu zao la mahindi kupoteza thamani kutokana na ufungaji wa...
9 Reactions
40 Replies
11K Views
Wandugu, Nafikiria kwenda kufanya utafiti kipi kitafaa kuwekeza ndani ya kisiwa sahaulifu cha Mafia. Ila nilipenda kujua kwanza maisha ya kule yapoje? Biashara gani itanilipa. Watu wa kule wapo...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi Lulu wakati anakuwa na mahusiano na Kanumba si alikua ana umri chini ya miaka kumi na nane, sasa kwanini hukumu imekuja kufanyika wakati tayari ameshakuwa na umri wa utu uzima kwanini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HABARI, Nimepata shauku ya kulisema hili kuhusiana na sakata linaloendelea la Kungombania madaraka ndani ya chama cha ZANU-PF na hili linachangiwa sana na mke wa raisi huyo BIGrace Mugabe kutaka...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna taarifa iliyoletwa humu toka kwa katibu mkuu utumishi kwenda kwa maafisa utumishi ikiwataka wafanye marekebisho ya barua walizonazo watumishi ambazo walikabidhiwa tangu mwaka 2016 baada ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kanuni ya "the Winning Edge" inasema Kuwa watu ambao wanafanakiwa kwenye Maisha sio kwamba wana uwezo Mara kumi zaidi au akili Mara dufu zaidi ya Wale ambao hawajafanikiwa bali ni kwa sababu...
4 Reactions
4 Replies
885 Views
Baadhi ya Wakandarasi tabia zao hazifai kibnadam,Hufungua kampuni wakati ujuzi wa kazihiyo hana,ok hilo sioshida sana wala tatizo sababu unaruhusiwa kutafuta wataalam ili waweze kufanya kazihizo...
0 Reactions
6 Replies
758 Views
Uwanja wa Ndege ... Unatofauti sana na Vituo vya usafiri Wa namna nyingine. Tujiulize kuna faida gani ya kimapato kumiliki uwanja wa ndege na inatoka wapi faida hii! Uwanja wa ndege hasa...
4 Reactions
31 Replies
6K Views
Wakuu mimi swali langu ni hilo tu kwa leo. Je yale makontena ya makinikia bado yapo Bandarini hadi napopandisha huu uzi? Mwenye kufahamu atujuze na tupicha atupie hapa tuone. Maana sisi wengine...
0 Reactions
5 Replies
979 Views
Kama ubongo wa binadamu ungekua ni kompyuta, basi ingeweza kuchakata mahesabu trillion elfu 38 kwa sekunde. Kompyuta yenye nguvu kuliko zote duniani, inayofahamika kwa jina la 'Bluegene', inaweza...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Yono Auction Mart mnafahamu hii siyo mara ya kwanza kwamba minada inaharibiwa makusudi na baadhi ya watu. Lakini inaonyeshwa Yono hawana njia ya kuzuia uharibifu huu zaidi ya kutegemea sheria ya...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Kwanza nianze tu kwa kuwapongezeni kabisa kwa kitendo cha kumtuma Mtangazaji wenu ambaye Kwangu Mimi ndiyo bora hapa nchini Tanzania na hana Mpinzani na kama wapo watakuwa ni wale wa CNN, BBC...
20 Reactions
102 Replies
11K Views
Kusema uongo niligundua kumbe ni kuhatarisha MAISHA , siyo tu kwamba Mungu alikataza katika maandiko yake matakatifu kama Amri tu, HAPANA . Kusema uongo kuna athari hata kisayansi katika Maisha...
6 Reactions
17 Replies
10K Views
Hawa watu wa ajabu sana, sijui akili zao zikoje!! Wao wamekuwa wakisikika na kumsifu mwenyekiti wao kuwa ni chuma na hata kusema aendelee kuongoza milele na kusiwepo uchaguzi; Lakini watu hao hao...
3 Reactions
2 Replies
769 Views
Leo nilikuwa mahali kwenye mishe nimeshudia gari 'mpya' za polisi zilizokarabatiwa kule Moshi zikipita kwa mbwembwe. Lakini cha kushangaza kila gari ilionekana kusheheni magunia ya mkaa. Cha...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Lazaro Nyalandu leo wanadai kuwa alitumia helcopter ya mwekezaji aliyekuwa ana tuhuma za ujangiri kufanyia kampeni zake za kuwania kuteuliwa kugombea uraisi na katika kampeni za ubunge. Pia...
1 Reactions
8 Replies
971 Views
Back
Top Bottom