Spika Ndugai: Waziri akifanya kafanya, sio lazima awe mwizi


M

Martin George

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Messages
1,668
Likes
1,434
Points
280
M

Martin George

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2017
1,668 1,434 280
Haya ndio mambo ya mchana kuwa CCM na jioni uko Chadema!! Anachokitetea hapa Spika kwa 100% ndio itikadi ya Chadema yaani " ubepari uchwara" ambapo viongozi ndio wanahodhi njia kuu za uchumi!!
 
Ndalilo

Ndalilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
950
Likes
1,571
Points
180
Ndalilo

Ndalilo

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
950 1,571 180
Sasa nataka kuamini Chama kile kipo kwaajili ya kuwasafisha wezi, mafisadi na wafananao! Ni vipi hakujibu tuhuma hizo hizo ambazo wananchi walizijua au kusikia kabla waziri huyo kuzisema?

Ni nani alitunga uongo woooote huo? Kwanini hakujali kabla? Ndio kusema ukiwa CCM hakuna wa kukutisha wala kujali lolote?

Anaposema alikomesha majangili, alitumia mbinu gani? Aweke hadharani ili zisaidie taifa. Isije kuwa uliweka walinzi wa kulinda majangili na hivyo mkala kilaini bila malalamiko wala purukashani na hicho ndicho unachoita KUMALIZA UJANGILI.

Kwa maoni yangu, mheshimiwa anajaribu kutuambia tusitegemee msafi aibuke kutoka kwenye dimbwi la mbolea ya binadamu.........eti wote ni nzi wa kizungu.

Tanzanians, you are on your own...........!
 
Feberia

Feberia

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Messages
494
Likes
184
Points
60
Feberia

Feberia

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2013
494 184 60
Tatizo hakuna wa kumwamini hapo maana Ufisadi ulisemwa wakati huo ukiwa makinikia na wenzako pia mwembeyanga walitajwa. Sasa tunaamini usemi ukiwa upande ule (makinikia) ulikubalika kwa UFISADI sasa upo huku tuhuma zimebaki au umehama nazo?

Ndio siasa zetu za bongo
 
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Messages
9,137
Likes
14,095
Points
280
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2015
9,137 14,095 280
Chenge endelea kuishikilia chama usiachie hata kidogo!

Kumbe Lowassa hagusiki? Maana hakuna anayethubutu hata kumtaja kwa jina ila Nyalandu wanamtaja tu!
 
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
990
Likes
676
Points
180
Keynez

Keynez

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
990 676 180
Tatizo dira ni ipi? Katibu Mwenezi anasema bado ni wajamaa, mwingine anasema viongozi lazima wawe na vitega uchumi vingi, mwingine anasema anataka kurudisha Azimio la Arusha. Mkanganyiko mtupu!
 
K

kiogwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
3,550
Likes
4,207
Points
280
K

kiogwe

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
3,550 4,207 280
Kuna tetesi kwamba yule mzee alikufa kwa kifo cha kusikitisha mno ! Alikufa kwa njaa !
Nilikuwa namfahamu yule Mzee baba yake Kigwangala.kafa kifo cha masikitiko sana laana haitamuacha kigwangala
 

Forum statistics

Threads 1,249,422
Members 480,661
Posts 29,697,907