Mama labda alipata mimba yako
1. Bahati mbaya( hawakuwa na mpango wa mtoto)
2. Walipanga wa kike au wa kidume hakuwa
3. Kupatikana na baba ambaye hadi leo ni siri ya mama
4. Mama alibakwa ikawa...
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limesema kuwa
wanafunzi ambao walichaguliwa kujiunga na kidato
cha kwanza katika shule za serikali nchini wanahitajika
kufanya mtihani wa udahili tarehe 28...
The hero rats of Africa sniff out land mines — and TB infections
An APOPO rat trains in Morogoro, Tanzania. (Photo: APOPO)
MOROGORO, Tanzania — The grass is still damp with dew as the sun...
Sijawahi kucheza kabisa tatu mzuka ila leo nikasema nijaribu
Baada ya saa kwisha nikapata ujumbe huu
Hongera sana tiketi yako tatu mzuka imelinganisha namba 2 namba za ushindi hiyo hiyo
Unaweza...
Katika tafiti ambazo zimewahi kufanywa na wanasaikolojia miaka ya nyuma, waligundua ya kwamba watu wengi hawana maendeleo yao binafsi kwa sababu hawatambui nguvu ya msamahama iliyovyo na nguvu...
***ADMINS****naomba msaidie ku-edit kichwa habari kisomeke...."Kunahitajika Mjadala Mpana Kuhusu Fao La Kujitoa"....Nimeshindwa ku-edit heading
Kutokana na hali inayoendelea au sintofahamu...
Waswahili tuna msemo wetu wa..'kazi ni kazi, ilimradi mkono uende kinywani'; yaani haitakiwi mtu kuchagua kazi, kikubwa kazi husika iwe halali na iwe inakulipa.
Kama kichwa habari kinavyosema...
Hawa askari wa usalama wa barabarani(traffic) wa hii barabara hasa hawa wa Kimara wana kera jamani sijui ni kwangu pekee au na kwa wengine.
Unakuta ile asubuhi magari yanayoenda Mbezi mwisho kila...
Tanzania na watu wake ni wazee wa matukio, kuna matukio yanabamba kwa muda mrefu sana na kuna matukio yanavuma kwa muda mfupi sana na kisha kupotea.
Watu wa kwanza watakaozipatia biashara zao jina...
Hello Jf,
Moja ya sababu ,watu wa scandnavia wanaishi muda mrefu ni pamoja na careful diet,,
I just think na sisi tukibdilisha eating habits zetu then tutaishi miaka mingi,
Kwa kuanzia, sio...
Wakuu habari za mida hii,
Najua wengi mmechoka na mihangaiko ya hapa na pale katika kutafuta mkate wakila siku, huku Nchi ikiwa na vituko visivyoisha kila kukicha. Lakini mnashukuru siku...
Habari za jioni wanajamvi,
Poleni na majukumu ya kutafuta chumo,
Nisiwachoshe sana natarajia kusafiri kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka kwenda Dubai sehemu nitayofikia inaitwa Jumeira...
Unapoingiza nchini vifaranga wagonjwa ina maana unataka kuku walioko nchini au watu watakaotumia waathirike.
Hili ni tukio la kigaidi linaloitwa bioterrorism au ni uhujumu wa uchumi na ustawi wa...
Naibu waziri vijana, kazi na ajira Mhe.Anthony Mavunde amewaambia waajiri wote kuhakisha kuwa wanazingatia sheria na kanuni za ajira na kama itabanika uwepo wa waajiri ambao hawatafuata...
Nasikia leo team ya Clouds FM kama ilivyo kawaida yao ya kwenda ofisi za Wakuu wa Mikoa kukaribisha Msimu wao wa Tigo Fiesta so baada ya kufika kwa Makonda wakakuta waandishi wengine wanasubiri...
Husika na kichwa hapo juu,
Naomba taarifa rasmi kama feedback za TSSF kutoka Wizara ya Elimu kama alivyodai kuwasili katika maeneo hayo leo saa 3 mkurugenzi Donati Salla.
Ukipekuwa kwenye internet utaona kazi za Waziri Phillip Mpango (PhD) lkn nimejaribu kupekuwa Zito Kabwe, Msigwa, Nape, Tundu Lisu, Bashe &Co. zaidi ya mipasho na majungu ya twitter na facebook...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.