Kinachofuatia ni wazazi wa Wazazi wa Elizabeth Michael(lulu) kufunguliwa kesi

GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
6,085
Points
2,000
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
6,085 2,000
hizi siku mbili tatu nimekuta threads nyingi sana zikihusiana na mwanamke mmoja anayeitwa lulu.binafsi sikuwa nikimfahama mpaka hizi week mbili tatu nilipoona kila sehemu anazungumziwa na nikataka kumfaham. inasemekeana alikuwa anatembea na msanii sijajua wa kitu gani aliyekuwa akiitwa kadumba. na kuwa kuwa na mahusiano yao ndipo siku moja katika hali ya ugomvi huyo kadumba alianguka na kupoteza maisha yake.

kwa mujibu wa maelezo inasemekana kuwa wakati huo huyo lulu alikuwa na miaka 16. sasa hapo ndipo nilipoanza kuona shida kwa wazazi wa huyu binti.
miaka 16 ina maana alikuwa bado anapaswa kuwa shule. je wazaz wake waliruhusu vipi huyu mtoto awe anabakwa?
tuseme huyu binti alianza shule akiwa na miaka 6 darasa la kwanza ukiongeza na miaka 7 alimaliza darasa la saba akiwa na miaka 13. hapo akaanza kidato cha kwanza. 13 ongeza miaka 4 ina maana likuwa kidato cha nne wakati huo akiwa na mahusiano na huyo kijana ambaye inasemekana tayari alikuwa ni mkubwa.

siku ya tukio inasemekana ilikuwa ni usiku kwa maana ya kuwa huyo binti hakuwa akilala kwao na uhusiano wa hawa watu si kwamba ndo ulikuwa umeanza siku hiyo. kwa maana ya kuwa inawezekana ulianza miaka miwili au mmoja nyuma akiwa mdogo kabisa. na hawa wazazi wake walikuwa wapi kumuacha mtoto wa kike mdogo mpaka mida hiyo hayupo nyumbani? yupo kwa mwanaume? je baba na mama wa mtoto huyo wana akili sawa sawa?

nadhani kuna haja ya kuwashtaki hawa wazazi kwa kutokuwa makini katika kutunza mtoto wao. maana sijawah sikia kama walilalamika kuwa mtoto wao anabakwa au haonekani nyumbani. je sheria za nchi zinasemaje kwa wazazi wasiojali watoto wao? kwa mtu aliye chini ya miaka 18 huyo bado ni mtoto na yupo chini ya uangalizi wa wazaz. je kama angekuwa lulu ndo amefariki ha wazazi wasingefungua kesi mahakaman ya mtoto wao kuuawa? kesi ya kuwa mtoto waoa libakwa? kwa nini wao kwa sasa waachwe salama?

hii inaleta dhana mbaya ya wazazi kutokuwajibika kutokana na matendo wanayofanya watoto wao na mwishowe matendo hayo kupelekea matukio ya kutisha kama haya.kama wazaz wasingekuwa wamemwacha mtoto wao awe na tabia mbaya za kimalaya pengine huyo kadumba asingefariki. ashakum si matusi mtu ambaye anafanya tendo la ndoa kabla ya wakati huyo anaitwa malaya. watu wa lugha mtanisaidia hapo. je wazazi waliridhia mtoto wao afanye umalaya?
 
Wick

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Messages
7,673
Points
2,000
Wick

Wick

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2012
7,673 2,000
kwa mujibu wa maelezo inasemekana kuwa wakati huo huyo lulu alikuwa na miaka 16. sasa hapo ndipo nilipoanza kuona shida kwa wazazi wa huyu binti.
miaka 16 ina maana alikuwa bado anapaswa kuwa shule. je wazaz wake waliruhusu vipi huyu mtoto awe anabakwa?.
Hapa hakuna kesi ya kujibu wazazi wa Lulu, unless kuna shahidi aliyekuwepo wakati wanatoa go ahead kwa lulu!.
siku ya tukio inasemekana ilikuwa ni usiku kwa maana ya kuwa huyo binti hakuwa akilala kwao na uhusiano wa hawa watu si kwamba ndo ulikuwa umeanza siku hiyo. kwa maana ya kuwa inawezekana ulianza miaka miwili au mmoja nyuma akiwa mdogo kabisa. na hawa wazazi wake walikuwa wapi kumuacha mtoto wa kike mdogo mpaka mida hiyo hayupo nyumbani? yupo kwa mwanaume? je baba na mama wa mtoto huyo wana akili sawa sawa?
Lulu (accuser) kashasema uhusiano ulianza miezi 4 tu, hiyo miaka miwili unaitoa wapi wewe!?..

nadhani kuna haja ya kuwashtaki hawa wazazi kwa kutokuwa makini katika kutunza mtoto wao. maana sijawah sikia kama walilalamika kuwa mtoto wao anabakwa au haonekani nyumbani. je sheria za nchi zinasemaje kwa wazazi wasiojali watoto wao? kwa mtu aliye chini ya miaka 18 huyo bado ni mtoto na yupo chini ya uangalizi wa wazaz. je kama angekuwa lulu ndo amefariki ha wazazi wasingefungua kesi mahakaman ya mtoto wao kuuawa? kesi ya kuwa mtoto waoa libakwa? kwa nini wao kwa sasa waachwe salama?
Hakuna kesi kwa wazazi bado!..unaposema hawakumjali unamaanisha nini?, mtoto chini ya 18 akipata mimba umewahi sikia mzazi kafungwa sababu hajamjali mpaka kapata mimba?..

kama wazaz wasingekuwa wamemwacha mtoto wao awe na tabia mbaya za kimalaya pengine huyo kadumba asingefariki. ashakum si matusi mtu ambaye anafanya tendo la ndoa kabla ya wakati huyo anaitwa malaya. watu wa lugha mtanisaidia hapo. je wazazi waliridhia mtoto wao afanye umalaya?
Majaliwa Kassim (PM ) aliposema wazazi mkamatwe mtoto akipata mimba mlilalamika lakini kwenye ishu ya Lulu unataka wazazi wakamatwe!..how?..kwa kosa gani?..
 
Simple F

Simple F

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Messages
936
Points
1,000
Age
30
Simple F

Simple F

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2016
936 1,000
Ningependa historia ya elimu ya Lulu kweli huo ulikuwa awe anapiga nondo za kufa mtu
 
Baba Mbwa

Baba Mbwa

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
1,365
Points
2,000
Baba Mbwa

Baba Mbwa

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
1,365 2,000
binafsi sikuwa nikimfahama mpaka hizi week mbili tatu nilipoona kila sehemu anazungumziwa na nikataka kumfaham. inasemekeana alikuwa anatembea na msanii sijajua wa kitu gani aliyekuwa akiitwa kadumba. na kuwa kuwa na mahusiano yao ndipo siku moja katika hali ya ugomvi huyo kadumba alianguka na kupoteza maisha yake.
nimekinai kuendelea kusoma tatizo lako umeanza thread kwa kujielezea wewe na mbwembwe zisizo na msingi si lazma uanzishe thread
 
Lao Tzu

Lao Tzu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2017
Messages
218
Points
500
Lao Tzu

Lao Tzu

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2017
218 500
Umenishangaza tu kumjua lulu hizi wiki mbili na huyo kadumba badala ya kanumba coz kwa lile tukio yani km ingekuwa ni wimbo basi ilikuwa big hit all over East Africa kila kona walijua, sijui we ulikua wapi tu
 
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
6,085
Points
2,000
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
6,085 2,000
Sikuwepo na pia si mfuatiliaji sana wa mambo hayo ndo maana nikaona nilifaham hili jambo toka kwa wajuzi.kuvuma kwa jambo inategemeana na interest ya mtu. mimi simpenzi wa bongo flavor so ni ngumu kumjua huyo mtu but pia kuna mambo ambayo yanatokea kama haupo interested na jamaa zako hawako interested na hayo mambo unaweza usijue ingawa kwa asilimia kubwa wanajua. mi nlishangaa sana mwaka flan nlipomwambia mzungu mmoja kuhusu R Kelly akasema hamfaham. ila anamfaham Bob Marley. so inawezekana kabisa ndugu yangu.
Umenishangaza tu kumjua lulu hizi wiki mbili na huyo kadumba badala ya kanumba coz kwa lile tukio yani km ingekuwa ni wimbo basi ilikuwa big hit all over East Africa kila kona walijua, sijui we ulikua wapi tu
 
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
6,085
Points
2,000
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
6,085 2,000
una mimba changa sana.... pole huwa hiyo hali inakuwepo kwa waja wazito wanakinai kitu haraka sana na sometime wanakuwa too emotional. pole mama....

binafsi sikuwa nikimfahama mpaka hizi week mbili tatu nilipoona kila sehemu anazungumziwa na nikataka kumfaham. inasemekeana alikuwa anatembea na msanii sijajua wa kitu gani aliyekuwa akiitwa kadumba. na kuwa kuwa na mahusiano yao ndipo siku moja katika hali ya ugomvi huyo kadumba alianguka na kupoteza maisha yake.
nimekinai kuendelea kusoma tatizo lako umeanza thread kwa kujielezea wewe na mbwembwe zisizo na msingi si lazma uanzishe thread
 
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
6,085
Points
2,000
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
6,085 2,000
inaonekana kamefundishwa tabia chafu mapema sana haka kabinti mpaka nakaonea huruma. na wazazi wake walikaacha tu kaishi maisha hayo. nimesikitika sana.

Ningependa historia ya elimu ya Lulu kweli huo ulikuwa awe anapiga nondo za kufa mtu
 
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
6,085
Points
2,000
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
6,085 2,000
Hapa hakuna kesi ya kujibu wazazi wa Lulu, unless kuna shahidi aliyekuwepo wakati wanatoa go ahead kwa lulu!.

ukituliza munkari itapendeza zaidi kwa nini unajibu kwa hasira? nimejaribu kufikiria kwa kina kuwa inawezekana...kama alisema walianza miezi 4 its ok yeye ndo kasema na msemaji wake umekuja kwa hasira sana kwangu.by the way alikuwa bado kiumri ni mtoto ingawa kimatendo mkubwa. jamaa alikuwa anakabaka hako katoto.maana nimeambiwa yeye alikuwa mkubwa tayari.
Lulu (accuser) kashasema uhusiano ulianza miezi 4 tu, hiyo miaka miwili unaitoa wapi wewe!?..Hakuna kesi kwa wazazi bado!..unaposema hawakumjali unamaanisha nini?, mtoto chini ya 18 akipata mimba umewahi sikia mzazi kafungwa sababu hajamjali mpaka kapata mimba?..

Majaliwa Kassim (PM ) aliposema wazazi mkamatwe mtoto akipata mimba mlilalamika lakini kwenye ishu ya Lulu unataka wazazi wakamatwe!..how?..kwa kosa gani?..
 
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
6,158
Points
2,000
jebs2002

jebs2002

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
6,158 2,000
Hao wazazi inaonekana Lulu ndiyo kitega uchumi chao.
Kabisa kabisa, katoto kalikuwa "abused" kabla hakajakomaa, wazazi walifaidika na haka katoto kutumia mwili wake, hata adhabu kaliyopewa hakastahili, kalitakiwa kaende kutibiwa kwanza, na maneno mtaani siyo Kanumba tu, wanadai kuna wengine, tena wazito, labda kwasababu hawapo duniani..
 
T

Tabby

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Messages
10,253
Points
2,000
T

Tabby

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2008
10,253 2,000
hizi siku mbili tatu nimekuta threads nyingi sana zikihusiana na mwanamke mmoja anayeitwa lulu.binafsi sikuwa nikimfahama mpaka hizi week mbili tatu nilipoona kila sehemu anazungumziwa na nikataka kumfaham. inasemekeana alikuwa anatembea na msanii sijajua wa kitu gani aliyekuwa akiitwa kadumba. na kuwa kuwa na mahusiano yao ndipo siku moja katika hali ya ugomvi huyo kadumba alianguka na kupoteza maisha yake.

kwa mujibu wa maelezo inasemekana kuwa wakati huo huyo lulu alikuwa na miaka 16. sasa hapo ndipo nilipoanza kuona shida kwa wazazi wa huyu binti.
miaka 16 ina maana alikuwa bado anapaswa kuwa shule. je wazaz wake waliruhusu vipi huyu mtoto awe anabakwa?
tuseme huyu binti alianza shule akiwa na miaka 6 darasa la kwanza ukiongeza na miaka 7 alimaliza darasa la saba akiwa na miaka 13. hapo akaanza kidato cha kwanza. 13 ongeza miaka 4 ina maana likuwa kidato cha nne wakati huo akiwa na mahusiano na huyo kijana ambaye inasemekana tayari alikuwa ni mkubwa.

siku ya tukio inasemekana ilikuwa ni usiku kwa maana ya kuwa huyo binti hakuwa akilala kwao na uhusiano wa hawa watu si kwamba ndo ulikuwa umeanza siku hiyo. kwa maana ya kuwa inawezekana ulianza miaka miwili au mmoja nyuma akiwa mdogo kabisa. na hawa wazazi wake walikuwa wapi kumuacha mtoto wa kike mdogo mpaka mida hiyo hayupo nyumbani? yupo kwa mwanaume? je baba na mama wa mtoto huyo wana akili sawa sawa?

nadhani kuna haja ya kuwashtaki hawa wazazi kwa kutokuwa makini katika kutunza mtoto wao. maana sijawah sikia kama walilalamika kuwa mtoto wao anabakwa au haonekani nyumbani. je sheria za nchi zinasemaje kwa wazazi wasiojali watoto wao? kwa mtu aliye chini ya miaka 18 huyo bado ni mtoto na yupo chini ya uangalizi wa wazaz. je kama angekuwa lulu ndo amefariki ha wazazi wasingefungua kesi mahakaman ya mtoto wao kuuawa? kesi ya kuwa mtoto waoa libakwa? kwa nini wao kwa sasa waachwe salama?

hii inaleta dhana mbaya ya wazazi kutokuwajibika kutokana na matendo wanayofanya watoto wao na mwishowe matendo hayo kupelekea matukio ya kutisha kama haya.kama wazaz wasingekuwa wamemwacha mtoto wao awe na tabia mbaya za kimalaya pengine huyo kadumba asingefariki. ashakum si matusi mtu ambaye anafanya tendo la ndoa kabla ya wakati huyo anaitwa malaya. watu wa lugha mtanisaidia hapo. je wazazi waliridhia mtoto wao afanye umalaya?
Kumbuka mwaka mmoja kabla ya mauaji ya Kanumba, Lulu huyo huyo alikuwa amesherehekea Birthday yake ya miaka 18 kama si 19.

Hili la kusema aliua akiwa minor ni utata mtupu.

Lakini pia Lulu ni mwongo na mtukutu tu. Habari za kukataa shule na kuanza na mashuga dadi waulize walimu shule alokuwa akisoma. Umalaya na uwongo, jeuri na ujinga ndiyo rangu halisi za haka kajukuu kangu.
 
djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Messages
4,091
Points
2,000
djzm70

djzm70

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2014
4,091 2,000
Uhisiano wao ulikuwa una umri wa miezi minne tu
 
mgunga pori

mgunga pori

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2016
Messages
1,776
Points
2,000
Age
36
mgunga pori

mgunga pori

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2016
1,776 2,000
Umenishangaza tu kumjua lulu hizi wiki mbili na huyo kadumba badala ya kanumba coz kwa lile tukio yani km ingekuwa ni wimbo basi ilikuwa big hit all over East Africa kila kona walijua, sijui we ulikua wapi tu
.mkuu msamehe bureee huwez jua may b alikuwa bagladesh huko amerud soon
 
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Messages
1,401
Points
2,000
Nyendeke

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2013
1,401 2,000
Kitendo cha kumruhusu kwenda kuishi kwa yule Kijana, akiwa na umri mdogo hawakutimiza wajibu wao kama Wazazi..,
 
chankele kigoma

chankele kigoma

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Messages
201
Points
250
Age
37
chankele kigoma

chankele kigoma

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2017
201 250
Umenishangaza tu kumjua lulu hizi wiki mbili na huyo kadumba badala ya kanumba coz kwa lile tukio yani km ingekuwa ni wimbo basi ilikuwa big hit all over East Africa kila kona walijua, sijui we ulikua wapi tu
Jamaa kaibuka toka kuzimuni
 
Mrs Van

Mrs Van

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Messages
4,149
Points
2,000
Mrs Van

Mrs Van

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2016
4,149 2,000
Jamani ebu fanyeni utafiti huko majumbani sio kisa Lulu. Kuna watoto hawashikiki mpaka mzazi anainua mikono juu anamuachia Mungu.

All in all, Lulu wa 2012 sio wa 2017. Amepitia mengi na yamempa funzo maishani.
 
Forum statistics

Threads 1,295,958
Members 498,495
Posts 31,229,082
Top