Ridhiwani: Tusibeze hatua zinazochukuliwa na Waziri, naamini yuko katika mstari sahihi

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Mbunge wa Chalinze (CCM) Ridhiwani Kikwete amesema kupitia akaunti ya ya Twitter kuwa watu tusibeze hatua zinazochukuliwa na Mh Waziri, tumpe moyo wa kupambana na matokeo ya matendo yake ndiyo tuyahukuwa.
16b4ea1b13f55972498f28bdb992bce5.jpg


My take

Hii tabia ya wanasiasa kutuhumu wenzao kuwa wezi wakiwa upinzani itawagharimu.

Naona sasa Mh. Anaunga mkono watu kutuhumiana kwa style hii. Lakini amesahau kuwa yeye pia alituhumiwa kwenye dawa za kulevya na akasema watu wasitajwe hadharani bila ushahidi.

Ni vema angekaa kimya tu maana yeye yalimpata kwa style hii, wizara kabla ya Nyalandu kulikuwa na watu wenye tuhuma lukuki Kagasheki na Maige pamoja na Magembe muda uliopita kwanini hawakutajwa?
 
Lowasa akigombea, CCM watakuja na tuhuma zake, uchaguzi ukipita zinaanchwa. I see the same kwa Lazaro, anaweza hata kupewa kesi ya uhujumu uchumi akakaa ndani hadi uchaguzi uishe.
 
Si hasa... ukiona wanasi hasa wanagombana chukua jembe kalime hao wanajuana kwa vilemba...wakipatana nenda kavune furahia maisha na wanao...

Ugomvi wa wanasiasa hautakuongezea kilo ya unga wa ugali.. waache wapambanie matumbo yao..
 
Si hasa... ukiona wanasi hasa wanagombana chukua jembe kalime hao wanajuana kwa vilemba...wakipatana nenda kavune furahia maisha na wanao...

Ugomvi wa wanasiasa hautakuongezea kilo ya unga wa ugali.. waache wapambanie matumbo yao..
Ni siasa za Afrika ndo ziko hivyo.
 
Back
Top Bottom