Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukipekuwa kwenye internet utaona kazi za Waziri Phillip Mpango (PhD) lkn nimejaribu kupekuwa Zito Kabwe, Msigwa, Nape, Tundu Lisu, Bashe &Co. zaidi ya mipasho na majungu ya twitter na facebook...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ulikuwa Dada yetu, tulikupenda Sana mtoto wa Mama Chitemo RIP.
0 Reactions
3 Replies
890 Views
Ni katika round about ya CCM mkoa, katikati ya jiji la Mwanza, na kwenye huo mnala pichani kuna mlango. Sasa inasemekana kuwa mlango huo ukiingia kuna handaki ambalo linaenda na kutokeza Ikulu...
0 Reactions
3 Replies
957 Views
Studio za Radio Times Fm wapo SACP Charles Novat, ASP Deodatus Kazinja kutoka Jeshi la Magereza nchini wakieleza kuhusu hali Magereza na wafungwa. Ufuatao ni mtiririko wa mahojiano yao na...
10 Reactions
77 Replies
25K Views
Imesemwa mara kadhaa kuwa yapo mengi mema yanayostahili kupongezwa katika utendaji wa Rais Pombe Magufuli kama ilivyo haki kukosoa yanayokwenda mrama. La wazi kabisa pongezi kubwa ziwaendee...
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Nachokiona, mfumo wetu wa siasa mpya hauongezi watu Wapya Kushabikia Siasa... Bali Ni Watu Wale wale wanazunguka Toka Point A to Point B, then Point C, then wanarudi Point A teena... Wapenzi na...
1 Reactions
2 Replies
970 Views
Wakuu.. Leo katika safari yangu ya kurudi Dodoma baada ya kumaliza mishe mishe zangu ili kuwahi kufika niendapo imenibidi nipate bas la Sara Dar -Kigoma.. Usafiri wa mbali namna hii kwa basi ni...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Dodoma, Novemba 14, 2017: Serikali imesema mapato yatokanayo na kodi ya majengo yanayokusanywa na Serikali yameongezeka baada ya jukumu hilo kukabidhiwa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wafanyakazi wa kike wa nyumbanni kutoka nchin Tanzania walio nchini Oman na milki ya nchi za kiarabu UAE, wanadhulumiwa kimwili na kingono, wakiwa wanafanya kazi masaa mengi na wakilipwa mishahara...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni mtangazaji ambaye nimekuwa nikimfuatilia kwa muda sasa na nimekuja kugundua tokea aanze kutangaza kipindi cha 360 cha Clouds tv huyu dada huwa naona kama vile anakuwa hayupo comfortable. Ni...
4 Reactions
95 Replies
26K Views
Kero yangu ni hii Chanel kukata sauti muda wa vipindi vya bunge Je hii ni bahati mbaya au ni dhamira? Jamani wanaohusika acheni kuhujumu shirika letu
0 Reactions
2 Replies
917 Views
Sawa ni kweli kwamba Mwanao alifariki akiwa na huyo Binti katika Starehe zao na hata hivyo Marehemu Mwanao nae kama kungekuwa kuna uwezekano na Sheria za Kuhukumu Maiti basi yawezekana hata Yeye...
9 Reactions
108 Replies
11K Views
Hi adha itaisha lini? Hii ni leo asbh hapa Kimara Terminal
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mi naomba tu kuuliza kwa anayejua au aliefika huko ulaya, hivi huko nako mapolice /trafik huwa wanasimama kando kando ya barabara na kusimamisha magari, na kama ni hivo je nao wanakuwa na vitabu...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
NAFASI YA JESHI LA POLISI LA TANZANIA KATIKA VIWANGO VYA UBORA DUNIANI Ripoti iliyotolewa na World Internal Security & Police Index (WISPI) imeitaja Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye Jeshi la...
2 Reactions
48 Replies
10K Views
Salaam sana, Naamini katika jamii kubwa hivi lazima kuna mchanganyiko mkubwa pia. Katika hao wamo wacha Mungu wengi. Niombe pia towekeze nguvu katika kuhimizana kumcha Mungu na kutazama kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bandugu, Nina ka-assignment kidogo cha binafsi kuandika, nahitaji sehemu ya kwenda kufanyia hiyo kazi lakini pia iwe ni kama 'vacation' kwangu. Sifa zake angalau ziwe: Malazi yasizidi elfu 50 kwa...
0 Reactions
1 Replies
525 Views
MWANAMKE mmoja mkazi wa Kijiji cha Arash Tarafa ya Loliondo, wilayani Ngorongoro, Arusha, Nondomoli Saile, ambaye ameathirika na vitendo vya ubakaji wakati wa operesheni ondoa wafugaji wilayani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Ruvuma kimewafungia leseni madereva tisa wa magari ya abiria waliosababisha ajali na kusababisha vifo vya watu na majeruhi ikiwa ni mikakati ya kikosi hicho...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hudhuria misibani utapata wasaa wa kutafakari uhalisia wa maisha yako km binadamu na utu ulio ndani yako na hatma yake. Tembelea wagonjwa mahospitalini na majumbani utapata wasaa wa kujishtukia...
1 Reactions
4 Replies
995 Views
Back
Top Bottom