Pole sana.Niko Orci.....yaani ocean road cancer inst....tokea saa kumi na moja asubuhi.
Utaratibu ni the worst....huna pesa humuoni doctor.
Hapa ndipo unatakiwa ujiongezeeeee...
Tusaidieni,huu ugonjwa ni mbaya saaana.
Poleni sana,ngoja tusubirie labda wahusika wataliona hili na kulifuatilia...Niko Orci.....yaani ocean road cancer inst....tokea saa kumi na moja asubuhi.
Utaratibu ni the worst....huna pesa humuoni doctor.
Hapa ndipo unatakiwa ujiongezeeeee...
Tusaidieni,huu ugonjwa ni mbaya saaana.
Pole,yaani ukiwa huna pesa doctor haonekani?kamata doctor yeyote tandika ngumi,msaada utaupata fasta mkuu vinginevyo utakesha hapoNiko Orci.....yaani ocean road cancer inst....tokea saa kumi na moja asubuhi.
Utaratibu ni the worst....huna pesa humuoni doctor.
Hapa ndipo unatakiwa ujiongezeeeee...
Tusaidieni,huu ugonjwa ni mbaya saaana.