Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inaskitisha sana hawa jamaa wanajiita wajeda makuruta kiukweli wanawadharirisha sana watu ktk zoezi bila kujali umri wanajiona mungu watu inakera sana but kumbukeni huku vijijini mtaumia watu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Daktari wa Kiitaliano Sergio Canavero alishika vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali baada ya kutangaza kwamba atafanya operesheni ya kuhamisha kichwa cha mtu kwenda kwa mtu mwingine mwaka...
12 Reactions
155 Replies
27K Views
Hakika nimepatwa na hali ya kukata tamaa isiyo kifani, TAREHE 24/10/2017 tulipata safari ya kikazi kwenda Zanzibar Ku campaign juu ya Bio gas,namna ya kuandaa na kuitumia 1. Baada ya kipindi...
13 Reactions
232 Replies
17K Views
Kuna hali ya taharuki imeikumba shule ya msingi Tingi iliyopo wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma. Shule hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 1947 imekumbwa na tatizo la wanafunzi wake kuzirai, kupatwa na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mbali na kifungo vya maisha gerezani, muswada huo unapendeza kutaifisha mali za wanaojihusha na biashara hizo huku maofisa wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya wakiruhusiwa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Ndugu zangu wanajamvi. Mimi hapa nlipo matatizo.makubwa sana yamenipata naandika uzi huu nikiwa na haraka kidogo ila nimechanganyikiwa naombeni mnisaidie nipo hospitali kwa sasa ila hata mwenye...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuna Taarifa zinazagaa sasa kuwa gorofa la Tanesco Ubungo litavunjwa kupisha flyover na Jengo la wizara ya maji pia litavunjwa. Huu ni upotevu wa kodi ambazo ni pesa zetu... Tuandamaneni kuzuia...
6 Reactions
127 Replies
12K Views
Kama tunavyojua maisha ni safari ndefu ambayo imechanyanyika na vikwazo, Mikasa na matukio ambayo mara nyingne binadamu wenzako wanaweza wasiamini na wakajua ni uongo au ni matukio ya kubuni ila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wanabodi!. Poleni na majuku ya hapa na pale, swali hapo juu lajieleza vyakutosha. Ni kawaida mtu kupewa cheti baada ya kuhitimu course(fani) flani, kwa upande wa cheti cha ndoa mbona ni...
1 Reactions
23 Replies
18K Views
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TAARIFA YA KUSAFISHA NA KUUNGA BOMBA LA GESI - KINYEREZI I, MAANDALIZI YA KUUNGA KITUO CHA KINYEREZI II Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linawataarifu Wateja wake...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu habari Ikiwa imepita miezi miwili tangu Halmashauri zipewe kibali cha kuajiri WAHASIBU WASAIDIZI IDARA YA AFYA NA Halmashauri zikafanya Ivyo. Mpaka sasa HALMASHAURI AZIJAJUA AWA WAHUSIKA...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari ya wakati huu wakuu. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Makonda amewatangazia kiama wanaume wote wanaowamimba wanawake kisha kukataa mimba au kukimbia mimba. Amedai atashughulika...
6 Reactions
132 Replies
13K Views
Mawaziri wakuu wastaafu, Sumaye, Msuya na Lowassa Aliyekuwa waziri wa Ulinzi Prof Sarungi na Balozi Job Lusinde aliyekuwa waziri Baraza la Mawaziri la kwanza la Tanganyika Historia ya...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Jamani cjawahi fika mji wa kahama ijumaaa ninatarajia kua hukom wap ni pazuri kulala na nitaweza kujidai napenda bia, muzik na nyama
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amehitimu masomo ya PhD ya Uchumi aliyokuwa anasomea ktk Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM).
12 Reactions
93 Replies
21K Views
Habari Wakuu, Kutokana na maisha kuwa na mambo mengi imefikia hatua nahisi haya masaa 24 tuliyopewa na Mungu ni kama hayatoshi. Nikijaribu kuyagawa kwenye ratiba yangu ya siku nahisi kuna vitu...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Nimefanya utafiti wangu mdogo,Watanzania wengi wamejisahau sana kuhusu ukimwi.Kampeni na elimu juu ya maambukizi zimekufa kuanzia redioni kwenye Tv na hata watu wengi vijueni hawaupi huu ugojwa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi TANESCO mna matatzo gani? muwe mnatoa taarifa ni huduma gan hii ya ajabu! Yaani ni sawa niende dukani kununua sukari halafu mangi anipangie kilo za kuchkua au ninunue halafu aninyang'anye...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Back
Top Bottom