Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HIVI karibuni, gazeti la Daily News (ISSN 0856-3812, No. 11,152) katika ukurasa wake wa mbele liliandika hivi, (.."in D'Salaam, the Head of Roman Catholic Church in Tanzania, Polycarp Cardinal...
7 Reactions
34 Replies
6K Views
Ombi kwa serikali ituruhusu kufanya biasha ya nafaka za chakula ili tujikomboe sisi wakulima wa mazao ya mahindi.
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Naandika Uzi huu kwa masikitiko makubwa kwa hali niyoikuta mikoa ya kusini Katika harakati zangu za kusaka Mpunga yaani mapene nilifanikiwa kupata kazi moja katika mkoa wa Lindi kwenye taasisi...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Ningeshauri Dr Shika angehusika katika kuvuta watu katika kampeni zinazoendelea au zitakazojitokeza hivi karibuni kwa sababu amekuwa ni kivutio cha wengi. Kama ilivyo kwa wasanii wa vichekesho wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
MIKOA yote nchini imeagizwa kuwapima wananchi wake, virusi vya ukimwi (HIV) bure kwenye wiki ya kuadhimisha Siku ya Ukimwi. Wiki hiyo inaanza Novemba 24 na kuisha siku ya kilele cha Siku ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hivi karibuni kumekuwa na taarifa katika baadhi ya vyombo vya habari na kutoka kwa baadhi ya wanasiasa kuishutumu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia hatua ya kukamata na kupiga...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Hi great thinkers Leo nimeingia hotel Fulani kuna boy mmoja akataka kuniletea chai nikamsitisha nikaenda panga foleni mwenyewe watu walistajabu.Mmiliki wa mgahawa akaja kuniuliza kwanini...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
najiuliza hata kama ni bure lakini kwanini iwe hivi watu wamejaa mpaka posta jamani, serikali jambo hili siyo sifa ni ishara ya Huduma mbovu kabisa katika hospital za serikali na watu hawana uwezo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na mtindo wa maisha na ulaji wa vyakula usiozingatia lishe bora, idadi ya watu wanaokumbana na magonjwa ya moyo na kiharusi inaongezeka. Ili kukabiliana na hatari ya kushambuliwa kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni heshima kubwa kupata mtu anayekupigania naimani mnazifahamu hisia hizo au la mnatamani kuzionja: iwe kutoka kwa mwanafamilia, rafiki, au kiongozi. Leo Nataka nizungumze na Rafiki yangu wa siku...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Waingereza ndio sababu kubwa tupo hivi. Unaweza kuamini kwamba uingereza ndio exporter mkubwa wa meno ya tembo duniani hadi muda huu naandika? Kumbuka uingereza hakuna tembo hata mmoja mwenye...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimekuwa mteja wa basi la Sutco la Dar - Iringa kwa muda sasa, lakini naona kama hawa Sutco wameanza kulewa sifa ya kujiona wameteka soko. Kuna basi la saa moja, hili likitoka Dar, kuna kuwa na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
wakuu. mapinduzi sehemu nyingi yalifanyika kwa viongozi kulewa madaraka, kutukana hovyo wananchi wao, ubabe, kutoshaurika wao kujiona ndio sauti ya mwisho , lakini muda unafika kila kitu kina...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanza naomba niseme msimamo wangu ni kuwa tuhuma ni tuhuma tu zinaweza kuwa hazina msingi wa ukweli wowote. Haijalishi anaetuhumiwa ni Makonda au Ruge au CMG. Innocent until proven guilty...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
NAOMBA USIKIVU WA MAKONDA, RUGE, CMG Agoati 5, mwaka huu, Rais John Magufuli akiwa Tanga kwenye mkutano wa pamoja na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, juu ya uzinduzi wa bomba la mafuta, aliwaita...
30 Reactions
134 Replies
17K Views
Muda wa mashamba kurudi kwa wazungu umewadia Zimbabwe!! Nadhani kila mmoja ni shahidi pale wana Walibya walipomuondoa Ghaddafi kwa mbwembwe now wanajuta walichokifanya. Ukiangalia kwa upande wa...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu ? Nina swali moja nataka kushare nanyi. Kwa mtu anaetaka kuwa nondo kwenye field fulani? Kipi bora ? Kusoma masters na kufanya PHD kabisa ? Au kusoma...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, abiria ambao ilikuwa wa safari na ndege ya kampuni ya fastjet flight number FN0154 saa sita kasoro robo (11:45) wameshindwa kuondoka kwa wakati. Hivyo safari yao...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Hivi huu mchezo wachezaji wake ni matajiri sna? Kwa sababu wanapopewa taarifa ya kushinda huo wapo kawaida sna, yaani mtu ameambiwa umeshinda 20m anasema asante basi hakuna shamrashamra yoyote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu mtumishi yuko wapi siku hizi? Amekuwa kimya mno kuliko kawaida yake, nini kimemfika? Vipi kuhusu ile ndege yake ilishatua bongo? Nadhani si kwangu wengi wamemmisi Mzee wa kuliamsha dude...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Back
Top Bottom