Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,840
Nimefanya utafiti wangu mdogo,Watanzania wengi wamejisahau sana kuhusu ukimwi.Kampeni na elimu juu ya maambukizi zimekufa kuanzia redioni kwenye Tv na hata watu wengi vijueni hawaupi huu ugojwa mjadala kabisa.Ni tofauti na miaka tano iliyopita!
Tusipo rekebisha na kujisahau hivi 2025 namba ya waathirika itarudi juu sana.
Tusipo rekebisha na kujisahau hivi 2025 namba ya waathirika itarudi juu sana.